Nicki Minaj and Eminem: New couple in town?

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,467
Reaction score
13,026
0525-nicki-eminem-getty-3.jpg

Eminem-Nicki-Minaj-Dating.jpg

New couple in town?!

Hii ni kutoka Insta ya Nicki.
Alipoulizwa na fan kama wana date.
"You dating Eminem???" ... Nicki akajibu with a simple, "yes."

Kwenye album yake mpya iliyo njiani, Nicki pia kasema kuhusu Em..

"Told 'em I met Slim Shady, bag the Em.Once he go black, he'll be back again."
 
Attachments

  • 0525-nicki-eminem-getty-3.jpg
    0525-nicki-eminem-getty-3.jpg
    30.3 KB · Views: 81
nadhani ni mwendelezo wa utani wa minaj....

alianza na Nas ikawa gumzo mtaani kumbe hamna kitu.

ila naona anahitaji bwana kweli kweli tena wa aina za Nas, Eminem... kachoka viserengeti.

Mzee Nas alianza kula mzigo kitambo sana
 
nadhani ni mwendelezo wa utani wa minaj....

alianza na Nas ikawa gumzo mtaani kumbe hamna kitu.

ila naona anahitaji bwana kweli kweli tena wa aina za Nas, Eminem... kachoka viserengeti.
Relation yake na Nasir Ilikua kweli
 
nadhani ni mwendelezo wa utani wa minaj....

alianza na Nas ikawa gumzo mtaani kumbe hamna kitu.

ila naona anahitaji bwana kweli kweli tena wa aina za Nas, Eminem... kachoka viserengeti.
Nas na Nick walikuwa wanakulana live
 
Back
Top Bottom