Waliodhani ile Kampeni ya Gen Z Tanzania ku -Unfollow wasanii wasio na nidhamu ni ushamba, wajifunze jambo.
Hao kina Charlie Kirk na wenzao wa wengi ndani ya Republicans ni wabaguzi wa wazi wazi wa watu wasio wazungu. Minaj kuhudhuria dhifa ile iliyojaa kila aina ya hotuba zilizojaa viashiria vya kibaguzi, lilikuwa kama tusi kwa mashabiki wake.
Hata hivyo haikatazwi msanii kuwa na upande kisiasa, bali awe tayari kulipa gharama zake. Roma Mkatoliki alichagua upande na akalipia gharama ya upande aliochagua.