Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Huyu mbunge hakika anamaono ya mbali sana, mungu ambariki sana lakini kwa wstu vichwa maji watapinga hili.
 
Lugha yenyewe unakandamiza maneno kama unatafuna nfuru au kande za bila kukobolewa, aende zake ndicho wananchi wake walimtuma?
Acha bangi, ukiona amekosea leta hoja ya msingi.
 
watu kama hawa ni wazima kabisa wanaojitoa ufahamu kuwatoa wasomi kwenye mjadala wa kupaa bei za mafuta! huwa ni vizuri mtu kuficha upumbavu wake ila unaweza kukuta mbunge huyu hajui kama hajui! huwezI kuongea bungeni habari za kabila lako yaani sasa kila mbunge alete maagizo ya wazee wa kabila lake bungeni kamwe hawataskizana.
 
Nyerere aliona mbali sana!! Hili kabila ni Mzigo WA Misumari, hadi Wawakilishi wao Hawana akili za kutambua jitihada za baba WA Taifa, hadi ukabila umepotea Tanzania wao wanaufufua!!!
Acha uzwazwa wewe ukubwa wa kabila letu unaujua?
 
This is a clear example of an empty case
 
Nadhani kuna haja ya kuweka kwenye katiba mpya kipengele cha kuzuia msukuma kuwa Rais nchi hii hawa watu wanaonesha true color zao watu wasichukulie utani ila hawa watu ni hatari maana wanachosema ndio wanakiamini na nashangaa speaker wa bunge hakukemea michango ya kipumbavu kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…