DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yaani ccm kumejaa wapumbavu wakufa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibaki huku.Baki huko.
😒 WTFMbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Jinga kweli, haya majitu tusirudie tena kuyaacha yawe viongozi; kwamba ameona Kiswahili hakitoshi? Wasukuma jamani kheeMbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Yule mwingine alipendekeza bangi na watoto wasiende shule😀walete kimoja kimoja kwanza - tuanze na Kisukuma ama gongo ???
Tena ya hovyo haswaBunge letu linajadili mambo ovyo sana
Ova
Nabaki huku tuone utasemaje.Usibaki huko.
Unalazimisha?.Baki huko.
Kwa nini?Kataa
Hakika ingekua mwaka Jana mapema angepewa uwaziri![emoji23][emoji23][emoji23]Hiiiiiiiiiiiiiii, amechelewa kuileta hiyo hoja mezani, ni kama amepishana na gari la mshahara [emoji205]
Hata sijui.Unajua mwenyewe
UNATARAJIA WABUNGE WA AINA HII WATAIKWAMUA NCHI KIUCHUMI KWA AKILI HIZI?Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Kwa hiyo?Of course "hujui"!
Imaelekea Kanda ya Ziwa ina vichaa wengi sana.Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Huyu nadhani kichaa kimeanza kupanda tena. Kwa nini ameenda bungeni akiwa bado hajapona?hivi yale maradhi yake ya akili yalitibiwa kikamilifu kweli,hili wazo lilifaa kipindi cha yule bwana aliyekuwa hawezi kuzungumza kiswahili wala kiingereza kwa ufasaha