Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
😒 WTF
 
Jinga kweli, haya majitu tusirudie tena kuyaacha yawe viongozi; kwamba ameona Kiswahili hakitoshi? Wasukuma jamani khee
 
Lugha yenyewe unakandamiza maneno kama unatafuna nfuru au kande za bila kukobolewa, aende zake ndicho wananchi wake walimtuma?
 
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
UNATARAJIA WABUNGE WA AINA HII WATAIKWAMUA NCHI KIUCHUMI KWA AKILI HIZI?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Imaelekea Kanda ya Ziwa ina vichaa wengi sana.

Fikiria kutoka kwenye kundi dogo sana la viongozi wanaotoka Kanda ya Ziwa, kati ya 2015 mpaka sasa, tumewapata wanne. Marehemu alijiweka wazi kabisa pale aliposema, "we Mpina nimekuteua kuwa Waziri wa Uvivu kwa sababu wewe ni kichaa ka mimi. Hapo tayari ni 2. Kuna Musukuma ambaye alisema kwamba anaomba bamgi iruhusiwe maana kule kwao mtu akivuta bangi, analima kwa mkono wake ekari nzima pekee yake kwa siku moja!! Mtu wa namna hiyo hayupo Duniani. Kwa hiyo huyu ni no. 3. Wa 4, naona ni huyu wa leo.

Najiuliza kwenye kundi kubwa la watuu, Kanda ya Ziwa, kutakuwa na vichaa wangapi? Na hali hiyo inaweza kuwa inachamgiwa na uvutaji bangi unaopigiwa chapuo na Musukuma?
 
hivi yale maradhi yake ya akili yalitibiwa kikamilifu kweli,hili wazo lilifaa kipindi cha yule bwana aliyekuwa hawezi kuzungumza kiswahili wala kiingereza kwa ufasaha
Huyu nadhani kichaa kimeanza kupanda tena. Kwa nini ameenda bungeni akiwa bado hajapona?
 
Back
Top Bottom