Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Acha roho mbaya, mbona walamba asali hamuwakemei.
 
Acha roho mbaya, mbona walamba asali hamuwakemei.
Mambo haya yameanza baada ya wasukuma kutawala kwa muda mfupi ni wakati wa kuthibitiwa hawaamini kama kabla ya mwaka walikuwa wao leo wote wamepigwa chini lazima waaumie na hawata rudi tena kwa mentality zao hizi za kikabila kudhani wingi ndio ukubwa.
 
Kwahiyo mnataka kuwatoa wote kwenye system?
 
Mngefanya kuwatenga kabisa muwape mikoa yao iwe nchi muishi kwa amani na walamba asali.
 
Hii ni sukumaphobia tu inakusumbua..,
Mtu katoa hoja yake bungeni kapendekeza lugha yeyote ichaguliwe akatolea mfano kisukuma
kwanini ukabila umetokea wapi hapo!?
Najua hamna bando tafta video usikilize.
 
Mngefanya kuwatenga kabisa muwape mikoa yao iwe nchi muishi kwa amani na walamba asali.
Ili kuwahepuka hawa wasukuma nazani huu ushauri mzuri ni wao kutuacha na kutupa mikoa yetu tuendelee na lugha yetu adhimu ya kisukuma.
 
Hii ni sukumaphobia tu inakusumbua..,
Mtu katoa hoja yake bungeni kapendekeza lugha yeyote ichaguliwe akatolea mfano kisukuma
kwanini ukabila umetokea wapi hapo!?
Najua hamna bando tafta video usikilize.
Acha na hawa mapoyoyo wenye chuki dhidi ya wasukuma, mbunge alikuwa anatoa mifano wenyewe wanatake it seriously.
 
Hivi kama Mbunge ana akili kama hizi je hao waliompa kura ktk jimbo lake wana hali gani?
 
Hii ni sukumaphobia tu inakusumbua..,
Mtu katoa hoja yake bungeni kapendekeza lugha yeyote ichaguliwe akatolea mfano kisukuma
kwanini ukabila umetokea wapi hapo!?
Najua hamna bando tafta video usikilize.
Kasema kisukuma kwanza hoja ya kijinga kuwahi kutokea haijalishi kihaya, kigogo sijui kimakonde hayo mawazo kaleta msukuma ndio ujue upeo wao wa kuwaza wana ulimbukeni fulani hasa wakiwa na madaraka kwa mara ya kwanza walipata madaraka kama miaka 5 hapo Dar tu mtu akataka kujifanya Mungu mtu lakini wana CCM wamejifunza hawatarudia tena, wao wapige kura tu madaraka hakuna.
 
Tabasamu kawaelezea Wabunge wa aina hii ambao wanawapotezea wenzao muda wa kutoa hoja na maoni yao. Fikiria Mbunge anaingia Bungeni na chupa za gongo kutetea matumizi yake na umuhimu wa kuhalalisha matumizi yake pia uchumi kwa wapikaji wa hiyo pombe! Tabasamu kawachana sana.
 
Huyo Tabasamu alisomeshwa na hiyo biashara ya gongo leo anaipondea hii nchi kweli imejaa wanafiki.
 
Kwa biashara hapana labda iwe Lugha ya kuchungia Ng'ombe na mbuzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…