Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Machi 07, 2025 katika ofisi zake za Kanda Maalum ya Dar es Salaam maarufu kama Central Muliro alisema kuwa Nicole atafikishwa Mahakamani kuanzia wiki ijayo ili kukabiliana na tuhuma zinazomkabili.