njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Weee hata ningekua mimi ndo nipo hapo kituono huyo hatoki itabidi tumfungie humo humo mahabusuSheria si inasema Mtuhumiwa apelekwe Mahakamani ndani ya 24 sasa huyu anakaa Week tena
Maana tukimuachilia mapema Wananchi bado wana hasira wanaweza " kumdhuru"🤣🤣🤣🤣🤣
Nasikia bob Mafwele ndio mara kwa mara anamuangalia mtuhumiwa asije kutoroka🤣🤣