Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Siku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa
Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa unakuta nimejiandikisha Songea kisha nikabadili makazi kuja Tanga bado nilazimike kwenda Songea kufuata kitambulisho?
Huu ulazima wa kufuata unatoka wapi haliyakuwa NIN ipo na inatosha kwa matumizi ya lain na maswala madogo madogo yanini kupeana gharama kufuata kitambulisho wakati namba ipo hii si sawa kabisa