Tukisema Serikali ya CCM ni ya kikoloni Watu hawaelewi, Yaaani hapo ndo wamefikilia mpaka Mwisho.
Imagine, Wao wamechelewesha Vitambulisho for more than 1.5yrs kwa bazi ya watu mpaka wame hama makazi, Lkn Wao kuwavumilia watu vitambulisho imeshindikana.
Kulikua na uwezekano kabisa kwa NIDA kuunda website kwa watu kujaza upya taarifa zao za mahali walipo, ili wafanyiwe re allocation ya Vitambulisho hata kwa Kulipia transists fee, Lkn wakaona njia nyepesi ni kufuta no. Bora hata wangefungia mpaka siku utakayo fata ila hawa wajinga wameona waifute