Bongo Nyoso!!Inasikitisha sana, ukienda kuchukua wanakunyima ID, wanasema uwe na SMS wakati hio SMS hajaituma!
Vitambulisho vimejaa sana kwa watendaji wa kata. Mkachukue tu au mtu ndugu wawachukulie.
Tumia kigambulisho cha mpiga kura kuchukulia cha nida
Inasikitisha sana, ukienda kuchukua wanakunyima ID, wanasema uwe na SMS wakati hio SMS hajaituma!
Na hawana kuremba wala mbambamba, kama ukikitaka inabidi uzame mfukoni uwape chai hata 50k chap unapewa, wanakwambia wao ni lambalamba na mkono mtupu hawaulambi!Sasa assume umeenda mwanza kutoka Dar halafu unaambiwa hivyo na gharama zote hizo
WEWE NI MPUMBAVU USIYEJUA THAMANI YA UTANZANIA WAKO. Natamani Immigration wakukamate kama mhamiaji haramu.Siku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa
Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa unakuta nimejiandikisha Songea kisha nikabadili makazi kuja Tanga bado nilazimike kwenda Songea kufuata kitambulisho?
Huu ulazima wa kufuata unatoka wapi haliyakuwa NIN ipo na inatosha kwa matumizi ya lain na maswala madogo madogo yanini kupeana gharama kufuata kitambulisho wakati namba ipo hii si sawa kabisa
Unawaapiga hata mkwara ili wahisi wewe ni wazee wa sisitimuNa hawana kuremba wala mbambamba, kama ukikitaka inabidi uzame mfukoni uwape chai hata 50k chap unapewa, wanakwambia wao ni lambalamba na mkono mtupu hawaulambi!
Sio kila sehemu mtu unakuwa na ndugu wengine tulikuwa masomoni, kuhamishwa kikazi, jeshini(kwa mujibu wa sheria) nk na ikaja fursa tukajiandikisha huko huko sasa kutulazimisha twende huko kwa ajili ya kufuata kitambulisho tu sio sawa kwanini wasimuulize mhusika current address watusogezee ili iwe rahisi?Vitambulisho vimejaa sana kwa watendaji wa kata. Mkachukue tu au mtu ndugu wawachukulie.
Tumia kigambulisho cha mpiga kura kuchukulia cha nida
[emoji23]nenda tu na kaunda suti!Unawaapiga hata mkwara ili wahisi wewe ni wazee wa sisitimu
Kwa nini NIDA wanachukua muda mrefu kuleta hivyo vitambulisho?WEWE NI MPUMBAVU USIYEJUA THAMANI YA UTANZANIA WAKO. Natamani Immigration wakukamate kama mhamiaji haramu.
Kaka kaunda hata wale madogo wa uvisisiemu wanavaa na vistika vya bendera ,,,,navaa casual tu ila mikwara kaka mm naijua vyemaa[emoji23]nenda tu na kaunda suti!
MlishatangaziwaSiku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa
Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa unakuta nimejiandikisha Songea kisha nikabadili makazi kuja Tanga bado nilazimike kwenda Songea kufuata kitambulisho?
Huu ulazima wa kufuata unatoka wapi haliyakuwa NIN ipo na inatosha kwa matumizi ya lain na maswala madogo madogo yanini kupeana gharama kufuata kitambulisho wakati namba ipo hii si sawa kabisa
Mimi mkwara wangu simdharau mtu wala sijisifiii,,,yani mkwara umekaa kisomi sana[emoji23]nenda tu na kaunda suti!