BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Daddie ungenituma tu mimi nikakuchukulie kitambulisho kuliko kumtuma mtu baki ambaye hana mapenzi ya dhati na wewe!Kama niliweza kutuma mtu na kunichukulia bc nadhani hy sign yako haina umuhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daddie ungenituma tu mimi nikakuchukulie kitambulisho kuliko kumtuma mtu baki ambaye hana mapenzi ya dhati na wewe!Kama niliweza kutuma mtu na kunichukulia bc nadhani hy sign yako haina umuhimu
Wino wa bei rahisivitambulisho vyenyewe vinafutika kiwepesi utadhani viliandikwa na chaki. Mimi chakwangu kimefutika sana kimakuwa kama Kadi ya refa.
Nilichukua 2015 imeshaexpire mkuu. Nafanyaje kupata nyingineHakina ukomo kwa sasa
Hakina ukomo kwa sasaNilichukua 2015 imeshaexpire mkuu. Nafanyaje kupata nyingine
Siyo fair!Wamefanya vyema wasipochukua wadeactivate NIDA zao kwenyhe system.
Je changu cha zamani kina ukomo. NafanyejeHakina ukomo kwa sasa
Hakina, washa-UpdateJe changu cha zamani kina ukomo. Nafanyeje
Pia kitambulisho cha mtu kikiwa tayari ataarifiwe kwa ujumbe wa simuNIDA wanakurupusha wananchi, kuna wengine walijiandikisha mbali mikoani na walihama bila kuondoka na vitambulisho hivyo kwani wakati wanahama vilikuwa bado havijatoka. Watoe muda mrefu angalau miezi mitatu wananchi wafanye follow up kufuatilia vitambulisho vyao huko mbali kabla hawajasitisha matumizi ya namba hizo