Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Umesema
NIDA= DILDO ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema
Shida ni wewe unapo download kitambulisho kinakuja katika mfumo wa pdf
Inawezekana wewe ,wakati una download kifaa chako hakikuwa na app ya ADOBE PDF ,
Mabadiliko ya kimfumo huwa yanakuja na changamoto tatixo hatukubali changamoto zilizopo tunataka kuwa kama makinda ya ndege kila kitu kulishwa
Tubadilike ...Taifa letu lilikuwa nyuma sana , mfumo km huo wa nida nimekuta ujerumani mwaka 2006 wanatumia na watu walishazoea kabisa
Tatizo upuuziaji wa mambo ndio unapelekea leo wananchi wengi kuanza kuhangaika kama popo
Mfumo wa portal umeanzishwa ni kwa kila mtu tukiamni kuwa karibu kila familia moja kuna mwana familia anamiliki ....smart phone ,sio kwenda stetionary
Ukienda stetionary lazima wakuchaji gharama na wao si wanataka faida ......
Tubadilike tukubali ...mabadiliko ya kiteknolojia ndio mwanzo wa huduma nyingi kuboreshwa
Na mwisho wale ambao hawajajisajili kabisa nida naomba waaanze kulipia , kuanzia wenye miaka 19. Na kuendelea ambao zoezi limefanyika wapo tu wanajidai wazee wa mishe
Huduma iendelee kiwa bure kwa wale waliokuwa na sababu maalumu tu kama ugonjwa,ajali ,safari na ambao hawakuwa wamefikisha miaka 18
MUNGU IBARIKI ...NIDA HASA MKURUGENZI WAKE ..PAMOJA NA MA I.T OFICER WA KILA MKOA , MBARIKI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AENDELEE NA MSIMAMO HUO HUO !!
Sent using i phone x
Nshapiga na Picha Jombaa, 4000 niliona nyingi coz natumia computer tangu laptop hazijaingia so sikuona kwa nini iwe gharama hivyo, imagine kuprint ni 500 afu tuseme nimeenda internet cafe nikalipia 700 nusu saa nkafanya na mishe zingine huko net halafu jumla ikawa 1200, tuache hiyo nilitumia bando langu na sikusota kama unavyozani, kama unabisha nitumie 2000 hapo 0000124587265Hela ya chapati mbili....
jamaa bahili kinyama...
muda atakaotumia utakuwa ni mwingi sana kuliko hiyo bk 4
Ww ndiye mbishi mm ninacuokuelekeza nakijua kuliko hata weweNdugu mpaka nimepost ni jambo limenikera sana, pia nikujulishe PC yangu ina run paid version of adobe(Premium) coz naitumia kwa ishu muhimu, another thing ni kuwa in case you don't know i am an IT guru. Nachojaribu kukwambia ni kuwa sacha kuwa unahukumu watu kwa kesi usizozijua. Pia uache kiherehere, Serikali imesema ID ni bure we unataka watu walipie kwa kuwa we umepata sio? Jitafakari roho ya kichoyo haitakupeleka popote. Sijakasirika nimekuambia tu kukushauri maana siku hizi watoto mkiwa na 10,000 mfukoni mnadhani hamna mtu mwingine atakuwa na 10000. Pia ujue portal ya NIDA haipo tu mtu kuona ID yake kuna watu walienda kuandikisha wakaombwa ID za wazazi ikabidi wasubiri zitoke waprint na NIDA wanatambua hilo, wewe tu ndo bado hujajua.
Hii inahusu waliopeleka nyaraka zao au kwa yeyote anayehitaji namba kwa haraka bila taarifa..?App ipi tena mkuu? Unataka huduma zao ingie website hii services.nida.go.tz utapata NIN na Copy ya hio NIN
Bora hata wewe hii hatua umeifikia.. Kuna kina sisi kila siku tunaliwa mia mia zetu kupata namba tu..Leo uzi wangu naikosoa NIDA hasa katika kipengere hiki cha kuprint ID copy online. Ni jambo zuri na mnastahii kupongezwa kwa hilo ila mtu aliyepitia adha za huduma hii hawezi kuwapongeza, mimi nikiwemo.
Tuanze hivi, nilienda statinary kuprint ID nikaambiwa 4000, nikaona siwezi kuvumilia ujinga wa wafanya biashara wa kibongo kupandisha bei inapotoea dili, basi nikarudi zangu maskani nikaingia NIDA id verfication portal nikadowload ID yangu ili nikai print nipeleke inapohitajika.
Mama weeeee! ikaja katika mfumo wa .gif. Tuzungumzie GIF kidogo, hii ni kifupisho cha GRAPHICS INTERCHANGE FORMAT, ambayo huwa haipotezi ubora wa picha (lossless format), mfano wake ni vile vipicha unaona kitacheza na hakina sauti. Ok huu ni mfumo mzuri wa kuhifadhi ubora lakini hata mifumo mingine kama PNG, JPEG nk nayo haipotezi ubora kiasi cha macho kuona ubora umepungua.
Shida ni kuwa hizi .gif files huwezi kuzifungua moja kwa moja kwenye computer mpaka uwe na software tool, au unajua kucheza na computer (jambo ambalo kwa watanzania lipo kushoto). Hapa nachojiuliza ni kuwa kwa nini NIDA waweke kwenye mfumo huu wakati lengo lao ni kumrahisishia mwananchi mnyonge apate Copy ya ID yake kwa ajili ya matumizi mbalimbali.
Binafsi nimekerwa sana na watu wa stationary maana wamekuwa kama wauza nyama buchani na NIDA ndiyo sikukuu yao. NIDA nadhani mmeliona hili hakuna point ya kuwa na hii service kama mtu hawezi kujihudumia mwenyewe. Sometimes unaambiwa tuma picha ya ID sasa wew mwenyewe huwezi ifungua utamtumiaje mtu ambaye pengine ni ajira au unataka mkopo.
YANGU NI HAYO.
Nenda ofisi za NIDA wilaya yako, utapewa namba kama ulijiandikisha zamani, ukitumia huo mfumo inakuwa inazingua sana.Bora hata wewe hii hatua umeifikia.. Kuna kina sisi kila siku tunaliwa mia mia zetu kupata namba tu..
Sent using Jamii Forums mobile app