NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

mkuu unasema ukweli ila kitambulisho changu cha Taifa nilikipata ndani ya mwezi. Baada ya Kukamilisha taratibu zote mwezi wa 9 tarehe 31, 2018 nikapigwa picha . Tarehe iyo iyo October, 2018 nilienda kukichukua.
Una bahati sana, tunaotaka angalau kasi hiyo as a standard procedure. Wengi wetu tunapigwa kalenda tu.
 
NIN unaipata ndani ya siku 5 kwa kuingia online, ila ukisema wakuchukulie wenyewe ndio usubiri kwa wiki 2
 
Hakuna wala rushwa wazuri km Nida aseeh!weka mzigo mezani Leo kesho umepata Kadi yako mapema sana
 
Mkuu fafanua kidogo hii
Mm kama wiki 3 za nyuma nilikamilisha taratibu zao ila waliniambia baada ya wiki 2 niende ofisini kwao nikachukue namba ya nida[NIN] baada ya siku nne tu nikaingia google nikasearch itambue namba yako ya nida. Nikaletewa link ya Nida huko unaandika tu jina la mwanzo na mwisho lakl kwako na la mama yako ulivyoandika kwenye fomu ya maombi ya nida alafu unaweza mwaka,mwesi na siku ya kuzaliwa utakuta umeletewa namba yako. Dafugwadu ilibidi upitie ufanye hivi ndipo ungepata mapema ila pole sana
 
Mm kama wiki 3 za nyuma nilikamilisha taratibu zao ila waliniambia baada ya wiki 2 niende ofisini kwao nikachukue namba ya nida[NIN] baada ya siku nne tu nikaingia google nikasearch itambue namba yako ya nida. Nikaletewa link ya Nida huko unaandika tu jina la mwanzo na mwisho lakl kwako na la mama yako ulivyoandika kwenye fomu ya maombi ya nida alafu unaweza mwaka,mwesi na siku ya kuzaliwa utakuta umeletewa namba yako
Shukrani mwamba Frustration
 
Kadi ya mpiga kura inatoka siku hiyo hiyo baada ya kujaza fomu na picha + fingerprints [emoji3] = MASLAHI YA KUTUMIWA KISIASA....
Sasa kadi ya NIDA haina maslahi kwa mwana siasa hivyo kwao haina maana...
Mimi since 2018, leo mwaka wa 5 huu sina NIDA, nisinge print online copy na kuifanya hardcopy leo ningekuwa nasota
Mkuu maelezo kidogo
 
Nasikia vina expire date? Kama ni chini ya miaka kumi basi mimi cha kwangu kitakuwa bado mwaka mmoja kiishe muda wake maana ni tangu 2013 namba zenyewe walinitumia mwaka jana tena baada ya kunifungia line yangu na hadi leo kitambulisho hola.
 
Eeh asiyeshukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru Nelly mfumo huo fanya kwa kurudia rudia maana kidogo mtandao unasumbua, puuzia taarifa ya tunashindwa tambua maelezo yako. Pia jaribu kwa browser tofauti na chrome iko poa zaidi. Mfumo pekee unaosoma NIDA kwa haraka ni mfumo wa kusajiri laini wako fasta sana. Ukienda kwenye hakiki namba ukiingiza namba zako zitakataa kusema namba haipo ila wao wenyewe tu.
1. Ingiza jina lako la kwanza
...................................
2. Ingiza jina lako la ukoo
..............................
3. Ingiza jina la kwanza la mama yako
..................................
4. Ingiza jina la ukoo la mama yako
...............................
5. Ingiza mwaka,mwezi na siku yako ya kuzaliwa
............... ............ .........

NAMBA YAKO NI
2013060657210003682
 
Mkuu maelezo kidogo
Yaani ni kuwa, kuna kipindi ukijaza jina la Mzazi na jina lako, kitambulisho unakiona online vizuri, kuna option ilikuwepo ya download, nlifanya hivyo nikaenda ku print mwenyewe stationery, hadi leo mimi ndo natumia hicho cha kutengeneza mwenyewe
 
Kadi ya mpiga kura inatoka siku hiyo hiyo baada ya kujaza fomu na picha + fingerprints [emoji3] = MASLAHI YA KUTUMIWA KISIASA....
Sasa kadi ya NIDA haina maslahi kwa mwana siasa hivyo kwao haina maana...
Mimi since 2018, leo mwaka wa 5 huu sina NIDA, nisinge print online copy na kuifanya hardcopy leo ningekuwa nasota
Hii online unaipataje nijuze
 
mkuu unasema ukweli ila kitambulisho changu cha Taifa nilikipata ndani ya mwezi. Baada ya Kukamilisha taratibu zote mwezi wa 9 tarehe 31, 2018 nikapigwa picha . Tarehe iyo iyo October, 2018 nilienda kukichukua.
Walikutumia notification kwamba ukifate??
 
Hivi huyu Waziri mwenye dhamana hazioni kero hizi? Au kazi yake pale Wizarani ni KULAMBA UROJO wa Kipemba tu?
 
Habari zenu wakuu.

Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka.
"Being Quick, Efficient and Consistent is being Good"
Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020.

Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo utakua umekamilishia taratibu zote (umepiga picha na kuchukuliwa fingerprints) pale uhamiaji, unapewa passport yako baada ya wiki mbili.

Kwa upande mwingine, kuanzia siku ambayo umekamilisha taratibu zote (umepiga picha na kuchukuliwa fingerprints) pale NIDA, itakuchukua Mwaka mmoja, hadi miwili au awamu nzima (miaka mitano) kupata kitambulisho chako.

Mnaojua hebu tujuzeni na sisi, kwani kuna ugumu gani kutengeneza kitambulisho cha taifa ukilinganisha na ugumu uliopo kwenye kutengeneza passport ?

Pili, ukishakamilisha "taratibu zote" pale NIDA, unapewa wiki tatu ili upate namba ya NIDA (NIN) ? How comes a computerised system generates "numbers" at such a slow pace ?
Yaani siku zote 21 namba tu ?

Tatu, uki "renew" kadi yako (baada ya ile ya awali kupotea au kuharibika, n.k), inaweza kukuchukua miezi sita hadi mwaka kuipata tena, mara baada ya kukamilisha taratibu zote.
Na hii ni hata kama haubadilishi chochote katika taarifa zako.
Yaani ku "reprint" tu, utasubiri miezi sita hadi mwaka.

Tusiwe wasiri, kuna ugumu upi ?

Juzi hapa "tumesaini" mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR kutoka Makutupora kuelekea Tabora, kwa mtu ambaye alijiandikisha NIDA siku hiyo, anaweza kujikuta anapanda treni ya umeme kutoka Makutupora kuelekea Tabora akiwa hana kadi yake ya NIDA kwenye wallet (bado haijatoka).
NIDA ni jipu tena ni jibu kubwa na wahusika wnajifanya hawaoni.
Hii nchi bwana.
 
Back
Top Bottom