pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Sio kweli,
Uhamiaji ni wasumbufu kukiko nida ,
Nimekamiliaha kila kitu leo ni miezi minne sijapewa passport kisa sina barua ya shule, nawaambia sikusoma shule hawaniamini,
Cheti changu, baba, mama, babu, bibi, nida, kura barua ya mwenyekiti wa mtaa, leseni, tin number, driving licence, affidavit ya bibi mzaa bibi, eti vyote vimedunda kwasababh ya barua ya shule wakati ukweli mie sikusoma shule,
Nadhani umeona jinsi walivuo wasumbufu