pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Ukijiangalia kwa undani, hilo suala lako ni la kuisha ndani ya wiki moja.
Sasa wao wanachukua muda kana kwamba wanatengeneza silaha za nyuklia au wanajenga Uwanja wa ndege.
Hii ni taasisi cheleweshi.
Yes mkuuNida ni wapuuzi sana
Kumbe ndo mpango wao okZa chini chini nasikia kuwa wanakaanavyo ili vikikalibia kuisha mda wake wakupe alafu urenew tena ambapo gharama yake ni elfu 20 😄😄 na hapo utasubiri tena mpk kikikaribia kuisha mda wake
Ntamtumia online soft copyKumbe ndo mpango wao ok
NIDA ni jipu lililomshinda Magu
Umenikumbusha waalimu wa shule za serikali wanasema hata usipoelewa shauri yako yeye mshahara wake upo palepale.Tatizo watu wa serikali,
inefficiency haijawahi kuwaumiza. Kwani kuna mtu
amewahi kukosa mshahara
kwa sababu kitambulisho
kimechelewa? Lakini mtu wa
private, akipewa target zake,
tunataka vitambulisho kadhaa
kila siku, utaniambia speed
watakayokuwa nayo. Maana
wanajua, huko ndiko pesa zao
zinatoka.
Hizo process za viambatanishi vyote hivyo vya nini? Je ambaye baba,mama,babu,bibi waliisha fariki atafanyaje? Cheti cha kuzaliwa na namba ya nida vitoshe kumfanya mtanzania kupata pass ya kusafiria bila mizengwe .Sio kweli,
Uhamiaji ni wasumbufu kukiko nida ,
Nimekamiliaha kila kitu leo ni miezi minne sijapewa passport kisa sina barua ya shule, nawaambia sikusoma shule hawaniamini,
Cheti changu, baba, mama, babu, bibi, nida, kura barua ya mwenyekiti wa mtaa, leseni, tin number, driving licence, affidavit ya bibi mzaa bibi, eti vyote vimedunda kwasababh ya barua ya shule wakati ukweli mie sikusoma shule,
Nadhani umeona jinsi walivuo wasumbufu
[emoji28][emoji28][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umenikumbusha waalimu wa shule za serikali wanasema hata usipoelewa shauri yako yeye mshahara wake upo palepale.