Habari wandugu na poleni na kazi,
Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba etc. pia apeleke kiapo cha mahakama cha kubadili jina, Tangazo la gazeti la serikali na pia Kibali cha mabadiliko ya jina kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
Naombeni msaada kwanini anahitajika vitu hivyo wakati jina lake ni lile lile hajabadilisha ila NIDA ndio wamekosea, pia kama kuna mtu anaweza kutoa msaada zaidi atusaidie, MUNGU awabariki.