Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Nakubaliana na wewe. Kama kuna kitu ilibidi kiuzwe mapema kwa wawekezaji wa nje ni NIDA halafu lifuatie bunge la kina msukuma. Hii ingefanyika kabla ya uuzaji wa bandari zote za mito, bahari, maziwa na madimbwi.Nida wapewe watu wa dubai tu waisimamie