Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Jun 15, 2023 #21 Mufti kuku The Infinity said: Nida wapewe watu wa dubai tu waisimamie Click to expand... Nakubaliana na wewe. Kama kuna kitu ilibidi kiuzwe mapema kwa wawekezaji wa nje ni NIDA halafu lifuatie bunge la kina msukuma. Hii ingefanyika kabla ya uuzaji wa bandari zote za mito, bahari, maziwa na madimbwi.
Mufti kuku The Infinity said: Nida wapewe watu wa dubai tu waisimamie Click to expand... Nakubaliana na wewe. Kama kuna kitu ilibidi kiuzwe mapema kwa wawekezaji wa nje ni NIDA halafu lifuatie bunge la kina msukuma. Hii ingefanyika kabla ya uuzaji wa bandari zote za mito, bahari, maziwa na madimbwi.
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Jun 15, 2023 #22 Hivi kwa nini NIDA nayo isitafutiwe wawekezaji? Toka 2018 mpaka sasa sijapata kitambulisho bali namba pekee. Si nitakipata kikiwa tayari expired?
Hivi kwa nini NIDA nayo isitafutiwe wawekezaji? Toka 2018 mpaka sasa sijapata kitambulisho bali namba pekee. Si nitakipata kikiwa tayari expired?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jun 15, 2023 #23 Usikubali unyonge tatizo nida wanaajili vilaza nenda kwenye ofisi Yao ya utumishi waelezee tatizo watashugulikia
Usikubali unyonge tatizo nida wanaajili vilaza nenda kwenye ofisi Yao ya utumishi waelezee tatizo watashugulikia