DOKEZO NIDA wanatoa vitambulisho kwa madereva wa kigeni kwa lengo la kuwasadia wapate pasipoti za Tanzania; kitambulisho kimoja kinalipiwa hadi milioni moja

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Nasimama na maofisa wa NIDA waliopo katika maeneo mengi nchini. Madereva na wasaidizi wao wanaofanya safari kwenda nje ya nchi kupeleka mizigo wanapewa vitambulisho vya Tanzania na baadaye zile pasipoti za muda mfupi.

Vitambulisho hivi vinatolewa zaidi kwa wageni waliopo DAR es salaam. Makampuni mengi Yenye umiliki wa watu wenye asili ya Burundi, Malawi, Nigeria, Kenya, Somalia,Rwanda na Waarabu wafanya kazi wake uanza kazi kama wageni then after short time kwa lengo la kukwepa kusumbuliwa na Uhamiaji utafuta vitambulisho vya NIDA na pasipoti wawe kama watanzania.

Vitambulisho hivi utolewa zaidi kwa mtandao wa wanahisa ambao ni wanasiasa wanaelekeza maafisa watoe vitambulisho na Pasipoti Ubungo, Temeke, Kinondoni, Ilala, Kahama, Makambako, MBEYA, Songwe, Arusha, Ngara, Karagwe, Ushirombo, Kigoma na Nyakanazi.

Mbinu zinazotumika ni pamoja na
1. Wamiliki wa makampuni wanazungumza na viongozi wakubwa wa taasisi wakiwadanyanya kwamba kuna ndugu yao anahitaji NIDA au pasipoti ya haraka na kwamba maafisa wanawakwamisha. Zinapigwa simu maelekezo yanatoka wanapata documents

2. Kuna Vishoka maalumu ambao wanachukua si chini ya milioni mbili hadi tatu kwa kitambulisho kimoja. Ikumbukwe kwamba wengi wa watu hawa ni wanafamilia wa matajiri wa kigeni waliopo hapa nchni ambao wanakosa sifa za ajira kama wageni.

3. Wanatumia maafisa wa NIDA wasio waaminifu kupata vitambulisho. Sometimes baadhi wanapewa hadi vitambulisho zaidi ya kimoja na wao ugawana na wale ambao lugha ya kiswahili inasumbua.

4. Wanapokwenda kuomba pasipoti utuma watu kwani wanaogopa kushtukiwa kwa lafudhi zao.

5. Wanatumia familia za kitanzania kama vile wao ni watoto wa hizo familia.

Kwa sisi wamiliki wa makampuni ya usafirishaji mizigo ambao kwa kiasi kikubwa tumeishi nje tunaona kama hali hii siyo salama kwa nchi yetu . Wanasiasa na viongozi wakubwa wanapotumika kuelekeza wageni wapewe huduma si jambo jema.

Wateja wanapotumia vishoka kutekeleza uhalifu si jambo la afya sana kwa nchi. Lakini pia watanzania wengi wanakosa kazi kwa sababu ya wageni kupeana kazi hasa eneo la bandari ya DAR es salaam. Tunakumbuka tukio la Westgate. Hawa wanaotumia fedha na connection kujipatia Utanzania wanatupelekea tuwe hatarini.

Lakini pia changamoto nyingine ipo kwenye sheria za NIDA na UHAMIAJI; nimeripoti mara kadhaa wageni wenye vitambulisho vya NIDA Uhamiaji. Niwapongeze sana UHAMIAJI wanapopata hizi taarifa wanafanikisha kuwakamata wahusika na kuwapeleka mahakamani.

Lakini chakushangaza wakikamatwa wanafika mahakamani asubuhi mchana wamelipa faini na kuachiwa. Unajiuliza kweli faini ya mtu aliyejipatia uraia wetu kinyume cha sheria inakuwaje laki tano?

Mgeni anagushi taarifa anapata kitambulisho cha NIDA analipaje faini ya laki mbili mahakamani? Mawakili kwenye kesi moja wanalipwa kati ya milioni ishirini hadi hamsini kusimamia kesi ya msomali mmoja anapofikishwa mahakamani. Sheria inasema faini laki tano huku watanzania wanasota mahabusu bila dhamana kwa makosa ya kawaida kabisa.

Tunapeleka wapi hii nchi? Kwanini tusiweka adhabu ya kifungo cha miaka kumi na tano ukikutwa na kitambulisho au pasipoti ya Tanzania?
Lakini pia wanasiasa wengi hata wakisikia mgeni amekamatwa na NIDA wanaingilia kati asifikishwe mahakamani....nchi yangu Tanzania mambo yamebadilika sana. Viongozi someni habari za Kongo, South Afrika, Kenya, Syria mk mtaona madhara ya kuachia usalama wa nchi kuingiliwa na matajiri.

Hawa matajiri wanaolindwa na wanasiasa na viongozi wetu wana nchi zao za asili ila sisi watanzania hatuna nchi nyingine. Pelekeni sheria ya Uhamiaji, RITA na NIDA bungeni mkaondoe mafaini hawa watu wakaozeee jela kwa usalama wetu. Mkiendelea kutoza laki tano mahakamani ipo siku tutalipuliwa huku ndani kwani kila mtu anatamani kuwa mtanzania .

Lindeni madereva, maafisa masoko, Wasafirishaji wa Tanzania kwani wageni wameona fursa ya DP world lakini pia wapo maadui wanatumia uzembe wa dola kuifanya biashara ya Tanzania isistawi. Amkeni Amkeni Amkeni tupige vita wageni kupewa pasipoti na vitambulisho vya Tanzania.

Watanzania amkeni amkeni acheni kuwakumbatia wagen kwa kudanganya kwamba ni wanafamilia wenzenu........
 
Ni hatari kubwa mno, Tanzania ni kama kijiwe cha kahawa cha Afrika, kila jioni ama asubuhi wote ( msomali, mnigeria, mkenya, mkongo, mrwanda, mganda, msouth, msudani, n.k) wanakutana kupiga story na kupata gahwa
 
Toa na mifano ya hayo makampuni.Umekuja kama anonymous hakuna atakayekupiga risasi 36.
 
Nakuomba , kwa gharama zako ufike pale upanga makao makuu ya PCCB, toa taarifa rasmi na kama una jua majibna ya kampuni na ofisi zilipo waambie PCCB. Wanafanya kazi kwa weledi na usiri mubwa.
Utalindwa, utarudishiwa gharama zako, utaweza hata kiupewa nishani kwakuwa umesaidia si tu seriali ila taifa kwa ujumla.
 
Hii Dp world mpaka wamalize muda wao na malengo yao sina hakika kama tutabaki kama walivyo tukuta haswa kwenye usalama!
Asante mleta mada, hata kama hatua hazita chukuliwa itapunguza kazi na watachukua tahadhari.
Na hili dokezo linaweza kuja kuwa rejea hapo mbeleni.
 
Nakuomba , kwa gharama zako ufike pale upanga makao makuu ya PCCB, toa taarifa rasmi na kama una jua majibna ya kampuni na ofisi zilipo waambie PCCB. Wanafanya kazi kwa weledi na usiri mubwa.
Utalindwa, utarudishiwa gharama zako, utaweza hata kiupewa nishani kwakuwa umesaidia si tu seriali ila taifa kwa ujumla.
Kwa Tanzania hii ndugu yangu!
 
Namba nne sijaielewa.......sasa hapo fingerprint inakuwaje wakati wa maombi ya hiyo passport??pia Kuna documents zinahitajika....zitakuwa na majina ya alietumwa au za muomba passport?
 
Mbele ya Pesa hakuna kinachoshindikana hayo ni MADILI ya watoto wa MJINI waliopo VITENGO HUKO wanashusha majumba TU kwa Pesa za MADILI
 
Lakini chakushangaza wakikamatwa wanafika mahakamani asubuhi mchana wamelipa faini na kuachiwa. Unajiuliza kweli faini ya mtu aliyejipatia uraia wetu kinyume cha sheria inakuwaje laki tano?

Taka taka tu. Eti sisi wasafikishaji,af mmbea tu. Kwani,wakilisha familia zao unapungukiwa nini? Nchi gani dunia hii haina wahamiaji?Wamarekani,tena wazungu,waliokwama Tanzania na kujiita wazawa,hawapo? Pambana na hali yako. Bahati yako huenda isiwe hapo ulipo,nenda baharini au ziwani,kavue dagaa. Pengine ndo pesa zako zilipo. Na wao huko wanakozipata,huenda ndo zao zilipo.
Watanzania wangapi wapo nchi hizo ulizotaja bila documents na wanaishi?
 
Nakuomba , kwa gharama zako ufike pale upanga makao makuu ya PCCB, toa taarifa rasmi na kama una jua majibna ya kampuni na ofisi zilipo waambie PCCB. Wanafanya kazi kwa weledi na usiri mubwa.
Utalindwa, utarudishiwa gharama zako, utaweza hata kiupewa nishani kwakuwa umesaidia si tu seriali ila taifa kwa ujumla.
Unataka wamkamate sio!!
 
Back
Top Bottom