DOKEZO NIDA wanatoa vitambulisho kwa madereva wa kigeni kwa lengo la kuwasadia wapate pasipoti za Tanzania; kitambulisho kimoja kinalipiwa hadi milioni moja

DOKEZO NIDA wanatoa vitambulisho kwa madereva wa kigeni kwa lengo la kuwasadia wapate pasipoti za Tanzania; kitambulisho kimoja kinalipiwa hadi milioni moja

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nashauri migration wawafanyie interview wale wote wenye passport za Tanzania lakini wanaishi kenya especially Mombasa,
Watu wa Mombasa wengi wanaomba kadi za NIDA kwa kusema wanatoka Tanga /kabila mdigo kwa sababu hata kenya pia kuna wadigo ila sio Watanzania na wanafanana lafudhi kwa kuongea Kiswahili ,
huwezi kutofautisha lafudhi ya mdigo wa Tanga na mtu wa mombasa..

Mkianza kuwafanyia interview mtakuja kugunduwa wale wote waliopewa kadi za NIDA na Passport kwa mlango wa uwani..
Msiwaulize majina wala.sehem walipozaliwa bali waulizeni matukio muhimu ya kitaifa hawajui hata moja.

Wakenya wa Mombasa ndy wanaongoza kutoa passport za tanzania especially mabaharia..
DMI chuo cha ubaharia ukiwa Mtanzania unapata unafuu kwenye kusoma course mbalimbali lakini ukiwa mgeni unalipa double ya pesa atakayotoa Mtanzania..
Mfano kama Mtanzania analipa $100 kwa couse basi mkenya atalipa $250.
Na Sehemu walizo target hawa wakenya ni ubaharia na kwenye kununuwa ardhi.
.

Migration wanatakiwa wahakiki documents zote zinazoletwa na wanaofanya maombi ya passport na sio kupiga simu pekee bali hata kuwaita wazazi wa wahusika na kuwafanyia interview..

Hii sio Salama kwa taifa letu..
 
Hadi Nelson Mandela na Thabo Mbeki walikuwa na passports za Tanzania.

Ni mambo ya ujamaa hayo.
Kwa hiyo na hao akina Mandela na Mbeki nao walizipata kinyemela nyemela kama hawa tunaoambiwa hapa kwenye huu uzi?
 
Nakuomba , kwa gharama zako ufike pale upanga makao makuu ya PCCB, toa taarifa rasmi na kama una jua majibna ya kampuni na ofisi zilipo waambie PCCB. Wanafanya kazi kwa weledi na usiri mubwa.
Utalindwa, utarudishiwa gharama zako, utaweza hata kiupewa nishani kwakuwa umesaidia si tu seriali ila taifa kwa ujumla.
PCCB ilishang'oka meno siku hizi , alichoandika huyo anonymous ndivyo kilivyo,
 
Aseee Mheshimiwa hakimu Ikiwa Kila kesi utahukumu kifungo basi utafika mbinguni umechoka Sana... Sema mbele yako ni phone/computer keyboards tu acha nikusamehe.

Ila next time usikimbilie msaada Kwa mods na kuwaomba wamfungie mtu acc yake, it's obvious hutafidika na kitu. For a great thinker you better next time think greatly accept challenges and put yours or counter challenge sio kuwaelekeza mods Nini Cha kufanya.

KIFUPI GROW UP!!

I have being a member of JF since way back 2010...
Usishangae sana kaka si ajabu huyo akawa ni mmoja wa vishoka ambao ni washiriki wakuu wa huu uovu unaoelezewa hapa, sasa ameona mambo mbayo kwake ni siri kuna mtu ameyafichua humu basi ndio anataka kutumia nguvu nyingi hili watu wasitilie maanani na yaonekane ni uzushi tu na wakati kihalisia haya mambo ni wengi sana tumeyashuudia.

Hii nchi ina watu wa ajabu sana wasiokuwa na huruma hata kidogo na kizazi cha mbeleni huko, wao wanaangalia kula yao tu.... usione tuvijana tumejazana barabarani huko na magari ya kifahari kuna mambo ya ovyo sana na hatarishi kwa taifa vinayafanya kwa ajili ya kujiingizia pesa.
 
Watz utawaweza Kwa kujikomba Kwa wageni, Yuko radhi mwenzake apate tabu lakini mgeni ale Raha, laana tupu.
Moja ya utamaduni wa ajabu na wa ovyo tuliokumbatia ni pamoja na huu wa kuthamini sana mgeni huku sisi wazawa tukipuuzana na kudharauliana..... hii kasumba iko Tanzania tu
 
Haya mambo yapo miaka mingi sana, ila huwa wanahangaika na illegal aliens tu
Kuna watu wana passports za nchi zote ulizozitaja na hii sio leo tangu miaka ya 70 tulikuwa tunayasikia
Nchi ina amani sana hii yaani wengi wanatafuta maisha tu
Ila hakuna wa kuthubutu kuharibu amani labda wa ndani ila sio wa nje
Kama kutumaliza wangefanya zamani sana
Hayo ya Westgate hawa jirani walienda na ukiherehere Somalia na kuiba mkaa na kusambaza Ukimwi

Sisi hatuna shobo na mtu
 
Nakuomba , kwa gharama zako ufike pale upanga makao makuu ya PCCB, toa taarifa rasmi na kama una jua majibna ya kampuni na ofisi zilipo waambie PCCB. Wanafanya kazi kwa weledi na usiri mubwa.
Utalindwa, utarudishiwa gharama zako, utaweza hata kiupewa nishani kwakuwa umesaidia si tu seriali ila taifa kwa ujumla.
Unaweza jikuta unaenda kumshitaki mwizi kwa mwizi mwenzie. Hivo unahisi Hadi kufikia hapo unazania cycle yao ni ndogo?

Mfano tu lakini
 
Hamna nchi isio kua na wageni wa namna hiyo kama wamepata kitambulisho cha taifa kupitia mamlaka husika sioni kama kuna tatizo labda huyu mtu awe ni mhalifu, waTanzania wenye passport za Africa kusini Kenya Rwanda na Burundi ni wengi kuliko wahamiaji walioko Tanzania, mtu hawezi kumuambia abebe uko mzima kudhibitisha uraia wake ni suala la kipuuzi, kuna mtu ana mzazi moja hajui wengine........watanzania wenzangu kupata exposure nijambo muhimu sana
 
Usishangae sana kaka si ajabu huyo akawa ni mmoja wa vishoka ambao ni washiriki wakuu wa huu uovu unaoelezewa hapa, sasa ameona mambo mbayo kwake ni siri kuna mtu ameyafichua humu basi ndio anataka kutumia nguvu nyingi hili watu wasitilie maanani na yaonekane ni uzushi tu na wakati kihalisia haya mambo ni wengi sana tumeyashuudia.

Hii nchi ina watu wa ajabu sana wasiokuwa na huruma hata kidogo na kizazi cha mbeleni huko, wao wanaangalia kula yao tu.... usione tuvijana tumejazana barabarani huko na magari ya kifahari kuna mambo ya ovyo sana na hatarishi kwa taifa vinayafanya kwa ajili ya kujiingizia pesa.
Kuna siri gani hapo ambayo watu hawaifahamu? Labda kama wewe ni mgeni hapa jamvini. Mada kama hii zimejaa humu.

Kwa hadhi ya 'anonymous' siri ingelikuwa ni kutaja wazi wazi makampuni, wanasiasa, na watumishi wa NIDA kama anavyotuhumu.
 
Bil
Lakini chakushangaza wakikamatwa wanafika mahakamani asubuhi mchana wamelipa faini na kuachiwa. Unajiuliza kweli faini ya mtu aliyejipatia uraia wetu kinyume cha sheria inakuwaje laki tano?

Taka taka tu. Eti sisi wasafikishaji,af mmbea tu. Kwani,wakilisha familia zao unapungukiwa nini? Nchi gani dunia hii haina wahamiaji?Wamarekani,tena wazungu,waliokwama Tanzania na kujiita wazawa,hawapo? Pambana na hali yako. Bahati yako huenda isiwe hapo ulipo,nenda baharini au ziwani,kavue dagaa. Pengine ndo pesa zako zilipo. Na wao huko wanakozipata,huenda ndo zao zilipo.
Watanzania wangapi wapo nchi hizo ulizotaja bila documents na wanaishi?
Bila shaka wewe ni mmoja wa wanufaika wa Uhamiaji haramu
Hilo povu sio bure.
Yani kwamba hujui madhara ya watu (wasio rain) kupewa pasi za kusafiria na vitambulisho kiholela?
Kwa ufupi mtoa mada ana hoja iliyojaa mashiko.
Huu uzi unapaswa kusambazwa kila mahali wahusika wachukue hatua ama kwa hiari au tuwalazimishe.
 
wawekezaji wengi wa nchi hii ni kutoka Asia huko ,sasa nenda kenye viwanda/yard zao utakuta lundo la Asian wamejazana wameingia wakitambulika kama expert na wamepewa haki zote za kuishi na kufanya kazi na wanazo documer zote.
ila uankuta wanafanya kazi ambazo zingefanywa na wazawa tena unakuta kazi ya kawaida sana huku vijana wetu wakiendelea kukosa ajira,kuna mambo mengi ya ajabu sana hasa kwenye mamlaka zetu
 
Back
Top Bottom