mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Nashauri migration wawafanyie interview wale wote wenye passport za Tanzania lakini wanaishi kenya especially Mombasa,
Watu wa Mombasa wengi wanaomba kadi za NIDA kwa kusema wanatoka Tanga /kabila mdigo kwa sababu hata kenya pia kuna wadigo ila sio Watanzania na wanafanana lafudhi kwa kuongea Kiswahili ,
huwezi kutofautisha lafudhi ya mdigo wa Tanga na mtu wa mombasa..
Mkianza kuwafanyia interview mtakuja kugunduwa wale wote waliopewa kadi za NIDA na Passport kwa mlango wa uwani..
Msiwaulize majina wala.sehem walipozaliwa bali waulizeni matukio muhimu ya kitaifa hawajui hata moja.
Wakenya wa Mombasa ndy wanaongoza kutoa passport za tanzania especially mabaharia..
DMI chuo cha ubaharia ukiwa Mtanzania unapata unafuu kwenye kusoma course mbalimbali lakini ukiwa mgeni unalipa double ya pesa atakayotoa Mtanzania..
Mfano kama Mtanzania analipa $100 kwa couse basi mkenya atalipa $250.
Na Sehemu walizo target hawa wakenya ni ubaharia na kwenye kununuwa ardhi.
.
Migration wanatakiwa wahakiki documents zote zinazoletwa na wanaofanya maombi ya passport na sio kupiga simu pekee bali hata kuwaita wazazi wa wahusika na kuwafanyia interview..
Hii sio Salama kwa taifa letu..