NIDA wapewe uhamiaji kwa muda wapo smart sana sijawahi ona taarifa za passport zimekosewa

Tofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?

Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.
 
Wewe ukipewa NIDA ni jambo gani litakushinda mkuu?
 
NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.

Wangepewa muda wakujitathimini.

Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.

Sijawahi ona passport imekosewa
Hao watu wa ovyoo sana isee hii nchi ina watumishi wa ovyoo!
 
Mnataka Duka lihamishiwe Sokoni?!
Watu wasio raia wana passport

Walio kana uraia wana passport Mbili Mbili mpaka tatu

Kifupi hakuna tofauti au labda kuna Sheria inatoa nafuu ktk Hilo au kwa baadhi ya watu
 
Ingekuwa uwezo wangu nngetengeneza smart card yenye chip watu wanakuwa na uwezo wakuitumia kwenye kila jambo kama utambulisho, usafiri(passport), banks, inahifadhi taarifa/nyaraka zako, kulipa huduma n.k
 
Kazi ya NIDA ni ngumu sana kama hawalipwi vizuri,kushinda kwenye computer toka asubuhi mpaka jioni na huku huna kitu mfukoni ni hatari sana, ndio maana tunaona makosa ya kijinga kijinga.
 
Ingekuwa uwezo wangu nngetengeneza smart card yenye chip watu wanakuwa na uwezo wakuitumia kwenye kila jambo kama utambulisho, usafiri(passport), banks, inahifadhi taarifa/nyaraka zako, kulipa huduma n.k
Hii ndio ilikuwa idea ya JK wakati wanapanga kutoa vitambulisho vya NIDA. Walipanga iwe more detailed ikiwa na hiyo chip. Na iloenda mbali mpaka wakataka iwe na taarifa za blood group, ukiwa na shida watu wanaingiza chip kusoma taarifa zako. JPM kaingia kavuruga kila kitu akaanza ujinga wake.

Hata wanapotaka mifumo isomane, NIDA ndiyo ilikuwa suluhu, ukienda kutibiwa hospitali A, ukasafiri ukaenda mkoa mwingine,, kama data zako zilikuwa served katika chip, huhangaiki kumsimulia daktari, anaingiza kadi tu anakusoma tatizo lako
 
Hawa jamaa ni shida sana mkuu.

Wanafanyakazi vile wanataka na muda wanajipangia wao, na hakuna kitu wanajali.

Nakiri wazi kwa kusema moja ya wafanyakazi waliojisahau na wenye dharau ni hawa jamaa wa NIDA.
 
Tofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?

Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.
Hizi ni excuses tu , immigration wapo vizuri na ni watanzania tu, nida waboreshe huduma zao
 
Nida wanahudumia watu wengi sana na Passport sio kila mtu anahitaji.

Labda wasaidiane tu ila sio kuwapa kabisa.

Huko ndio tutafeli zaidi maana uhamiaji watakuwa na majukumu yao na pia ya Nida watazidiwa na kuharibu zaidi.

Vile vile tusipende kurahisisha tu kila kitu kwamba nataka kitambulisho cha uraia basi unaenda leo kesho umepata tutakuja kuhatarisha usalama wa nchi yetu hivi hivi, ndio wewe unaweza kuwa genuine na unastahili kabisa kupata ila kuna maharamia huko yanajipanga kuja kutuumiza hivyo kuwatofautisha hawa inahitaji mchakato kidogo maana Nida haimfahamu kila mtu mpaka kwao.
 
Tofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?

Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.
Umeandika nilichokuwa nakiwaza, sina cha kuongeza
 
Back
Top Bottom