Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passport kama taarifa zako hazina shida,Passport tu kuipata miezi mitatu halafu waongezewe Tena majukumu mengine.Passport inatolewa Kwa kujuana,akija mfanyakazi anapata baada ya siku Moja lakini mtanzania ambaye ni raia danadana Hadi miezi mitatu.
Najua hawawezi kuamini ila kama mtu anabisha aende Kawe tu pale kule wanapojaza taarifa na kupiga picha na baadhi ya ofisi mule wana kiburi dunia sijapata ona.Hawa jamaa ni shida sana mkuu.
Wanafanyakazi vile wanataka na muda wanajipangia wao, na hakuna kitu wanajali.
Nakiri wazi kwa kusema moja ya wafanyakazi waliojisahau na wenye dharau ni hawa jamaa wa NIDA.
INASIKITISHA WALLAHNIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa
Nani anapeba gharama za passport??Hakuna cha bure, serikali imechukua au kubeba gharama zote za uchakataji wa kitambulisho.
The most stupid excuse, mbona namba wanatoa sasa si zote zingesubiri the so called mchakato!!Vile vile tusipende kurahisisha tu kila kitu kwamba nataka kitambulisho cha uraia basi unaenda leo kesho umepata tutakuja kuhatarisha usalama wa nchi yetu hivi hivi, ndio wewe unaweza kuwa genuine na unastahili kabisa kupata ila kuna maharamia huko yanajipanga kuja kutuumiza hivyo kuwatofautisha hawa inahitaji mchakato kidogo maana Nida haimfahamu kila mtu mpaka kwao.
Hata kama idadi ya watu ni kubwa ndio mtu akuambie anaitwa Peter wewe uandike Pita au John uandike JoniTofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?
Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.
Mashine ya vitambulisho vya NIDA ndio hiyo hiyo ya vya kura. Mbona vya kura vinatoka siku hiyo hiyo tena baada ya dakika chache tu.Nida wanahudumia watu wengi sana na Passport sio kila mtu anahitaji.
Labda wasaidiane tu ila sio kuwapa kabisa.
Huko ndio tutafeli zaidi maana uhamiaji watakuwa na majukumu yao na pia ya Nida watazidiwa na kuharibu zaidi.
Vile vile tusipende kurahisisha tu kila kitu kwamba nataka kitambulisho cha uraia basi unaenda leo kesho umepata tutakuja kuhatarisha usalama wa nchi yetu hivi hivi, ndio wewe unaweza kuwa genuine na unastahili kabisa kupata ila kuna maharamia huko yanajipanga kuja kutuumiza hivyo kuwatofautisha hawa inahitaji mchakato kidogo maana Nida haimfahamu kila mtu mpaka kwao.
Alivuruga nini??una kichwa kidogo kama mlemavu wa zika.Hii ndio ilikuwa idea ya JK wakati wanapanga kutoa vitambulisho vya NIDA. Walipanga iwe more detailed ikiwa na hiyo chip. Na iloenda mbali mpaka wakataka iwe na taarifa za blood group, ukiwa na shida watu wanaingiza chip kusoma taarifa zako. JPM kaingia kavuruga kila kitu akaanza ujinga wake.
Kitu unachotakiwa kufahamu mifumo hii inahitaji uwekezaji na usimamizi,utunzaji wa hali ya juu sana.unapoona ucheleweshaji wa vitambulisho zikiwa na document ndogo za kawaida kabisa ndipo ujue mambo sio mepesi,itachukua muda kuadopt jambo hilo kidijitali.Hata wanapotaka mifumo isomane, NIDA ndiyo ilikuwa suluhu, ukienda kutibiwa hospitali A, ukasafiri ukaenda mkoa mwingine,, kama data zako zilikuwa served katika chip, huhangaiki kumsimulia daktari, anaingiza kadi tu anakusoma tatizo lako
Tumia kichwa kufikiri, sio kubebea kamasiAlivuruga nini??una kichwa kidogo kama mlemavu wa zika.
jpm alivuruga nini?jpm ndiye aliigeuza SGR kuwa ya umeme kwa maelezo ya JK mwenyewe,asijekuona umuhimu wa jambo hilo!!!!
Kwa akili hizi za nguruwe,unafikiri ni jambo la kufanya kwa usiku mmoja,unafikiri kwanini kila line ina kitambulisho cha mtu kwa sasa???
Kitu unachotakiwa kufahamu mifumo hii inahitaji uwekezaji na usimamizi,utunzaji wa hali ya juu sana.unapoona ucheleweshaji wa vitambulisho zikiwa na document ndogo za kawaida kabisa ndipo ujue mambo sio mepesi,itachukua muda kuadopt jambo hilo kidijitali.
Leo hii ndio mifumo ya utumishi imeanza kuunganisha taarufa za muajiriwa mitandaoni,sehememu ambapo taarifa zako zitakuwepo muda wowote zikihitajika kwa ruhusa maalumu.
Mambo ni kwa hatua,sio siasa hizi za kutifuana mitaro mnazofanya ccm.
Kitambulisho cha NIDA kina uwezo wa kuhifadhi taarifa yote hiyo uliyosema.Ingekuwa uwezo wangu nngetengeneza smart card yenye chip watu wanakuwa na uwezo wakuitumia kwenye kila jambo kama utambulisho, usafiri(passport), banks, inahifadhi taarifa/nyaraka zako, kulipa huduma n.k
Hayo mengine?Kitambulisho cha NIDA kina uwezo wa kuhifadhi taarifa yote hiyo uliyosema.
Una hoja nzuri lakini kujenga hoja kwenye kutokuona passport imekosewa na uhamiaji haiipi uzito hoja yako.NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa
Unakaa mpk usahau we kuweza😄NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa