Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
Wafanyakazi wa nida hawana weledi wa kazi kanakwamba hawalipwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi wewe ni nguruwe aina ya large white..Kila comment Yako lazima umsingizie jpm kuwa alivuruga wakati wakati na uongo wako.Hii ndio ilikuwa idea ya JK wakati wanapanga kutoa vitambulisho vya NIDA. Walipanga iwe more detailed ikiwa na hiyo chip. Na iloenda mbali mpaka wakataka iwe na taarifa za blood group, ukiwa na shida watu wanaingiza chip kusoma taarifa zako. JPM kaingia kavuruga kila kitu akaanza ujinga wake.
Hata wanapotaka mifumo isomane, NIDA ndiyo ilikuwa suluhu, ukienda kutibiwa hospitali A, ukasafiri ukaenda mkoa mwingine,, kama data zako zilikuwa served katika chip, huhangaiki kumsimulia daktari, anaingiza kadi tu anakusoma tatizo lako
NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa
Mkuu ulininyan'ganya tenda ya kusafisha mtaro wako, nilikukosea nini?Kiufupi wewe ni nguruwe aina ya large white..Kila comment Yako lazima umsingizie jpm kuwa alivuruga wakati wakati na uongo wako.
Kichwa kinatakiwa kukutumia,ukiona unakitumia haya ndio madhara yake.Tumia kichwa kufikiri, sio kubebea kamasi
Nchi imejaa wala rushwa tupuNIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa
Muundo wake upo vibaya snHawa jamaa ni shida sana mkuu.
Wanafanyakazi vile wanataka na muda wanajipangia wao, na hakuna kitu wanajali.
Nakiri wazi kwa kusema moja ya wafanyakazi waliojisahau na wenye dharau ni hawa jamaa wa NIDA.
Acha kutetea ujinga, mbona NMB au CRDB wanatoa ATM card na mobile app inayosoma sio tu taarifa za NIDA ila hadi miamala kwenda taasisi zote nchini. Ila eti kwa serikali ndio MCHAKATO? hao NMB wanawezaje na NIDA wanashindwaje?Alivuruga nini??una kichwa kidogo kama mlemavu wa zika.
jpm alivuruga nini?jpm ndiye aliigeuza SGR kuwa ya umeme kwa maelezo ya JK mwenyewe,asijekuona umuhimu wa jambo hilo!!!!
Kwa akili hizi za nguruwe,unafikiri ni jambo la kufanya kwa usiku mmoja,unafikiri kwanini kila line ina kitambulisho cha mtu kwa sasa???
Kitu unachotakiwa kufahamu mifumo hii inahitaji uwekezaji na usimamizi,utunzaji wa hali ya juu sana.unapoona ucheleweshaji wa vitambulisho zikiwa na document ndogo za kawaida kabisa ndipo ujue mambo sio mepesi,itachukua muda kuadopt jambo hilo kidijitali.
Leo hii ndio mifumo ya utumishi imeanza kuunganisha taarufa za muajiriwa mitandaoni,sehememu ambapo taarifa zako zitakuwepo muda wowote zikihitajika kwa ruhusa maalumu.
Mambo ni kwa hatua,sio siasa hizi za kutifuana mitaro mnazofanya ccm.
Unajua kwamna CRDB na NMB wanakula 18000 kwa mwaka kama gharama za kadi??hii inakupa picha gani???Acha kutetea ujinga, mbona NMB au CRDB wanatoa ATM card na mobile app inayosoma sio tu taarifa za NIDA ila hadi miamala kwenda taasisi zote nchini. Ila eti kwa serikali ndio MCHAKATO? hao NMB wanawezaje na NIDA wanashindwaje?
Mimi binafsi siku naomba ATM card waliingiza tu namba ya NIDA wakanyonya taarifa zote mpaka sign hao NIDA namba wanazo kinachowachelewesha kutengeneza vitambulisho ni nini?
Hata driving licence unaomba leo baada ya siku chache tu umeipata why not NIDA?
Hii so hoja, mbona wanaoomba vitambulisho vya mpiga kura ni wengi kuliko wanaoomba NIDA ila bado vinapatikana haraka. Mind you vitambulisho vya mpiga kura huombwa misimu kadhaa tu tofauti na NIDA wanaotoa kila siku.Unajua kwamna CRDB na NMB wanakula 18000 kwa mwaka kama gharama za kadi??hii inakupa picha gani???
Hatuitetei serikali ya ccm lakini hatuwezi isimanga kwa kutumia upumbavu.
Sijui CRDB na NMB wana wateja wangapi ktk servers zao kiasi cha kuhitaji nguvu kubwa kiasi kipi kutoa huduma,kulinganisha na watu milioni zaidi ya 40 wanaohitaji huduma ya vitambulisho,na huku idadi ikiongezeka kila mwezi.
Ikiamua inaweza,lakini sio kwamba sababu ni uzembe wa taasisi,ni kwamba serikali haijaamua kuingiza miguu na mikono huko.Hii so hoja, mbona wanaoomba vitambulisho vya mpiga kura ni wengi kuliko wanaoomba NIDA ila bado vinapatikana haraka. Mind you vitambulisho vya mpiga kura huombwa misimu kadhaa tu tofauti na NIDA wanaotoa kila siku.
Unaweza ukaamini kwamba NIDA kuna watu kibao kutoka jeshini???Tuache kulea ujinga hawa ni wazembe, hiyo kazi wakipewa Deloitte sijui JWTZ utashangaa wiki moja tu vitambulisho vimesambaa kote.
Dawa ni walipwe commission kulingana na vitambulisho wanavyotoa.
Muundo wake upo vibaya sn
Nchi imejaa rushwa tupu mkuuKabisa mkuu na rushwa ndio kipaumbele chao.
Inasikitisha sana
Hapa naona kama JPM umemsingizia maana mimi nina kitambulisho tangu 2013 wakati huo JPM akiwa waziri wa Mifugo/UjenziHii ndio ilikuwa idea ya JK wakati wanapanga kutoa vitambulisho vya NIDA. Walipanga iwe more detailed ikiwa na hiyo chip. Na iloenda mbali mpaka wakataka iwe na taarifa za blood group, ukiwa na shida watu wanaingiza chip kusoma taarifa zako. JPM kaingia kavuruga kila kitu akaanza ujinga wake.
Hata wanapotaka mifumo isomane, NIDA ndiyo ilikuwa suluhu, ukienda kutibiwa hospitali A, ukasafiri ukaenda mkoa mwingine,, kama data zako zilikuwa served katika chip, huhangaiki kumsimulia daktari, anaingiza kadi tu anakusoma tatizo lako