Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ni kweli mkuuNIDA wanafanya kazi kiraia. sheria ya vitambulisho ipitiwe upya
Wewe ukipewa NIDA ni jambo gani litakushinda mkuu?Tofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?
Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.
Hao watu wa ovyoo sana isee hii nchi ina watumishi wa ovyoo!NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa
Halafu mojawapo ni worldwide; nyingine ni local hata utunzaji unatofautiana vibaya.Moja inalipiwa 150k wakati ile nyingine ni bure, lazima ubora wa huduma utofautiane.
Hakuna cha bure, serikali imechukua au kubeba gharama zote za uchakataji wa kitambulisho.Moja inalipiwa 150k wakati ile nyingine ni bure, lazima ubora wa huduma utofautiane.
Watu wasio raia wana passportMnataka Duka lihamishiwe Sokoni?!
Hii ndio ilikuwa idea ya JK wakati wanapanga kutoa vitambulisho vya NIDA. Walipanga iwe more detailed ikiwa na hiyo chip. Na iloenda mbali mpaka wakataka iwe na taarifa za blood group, ukiwa na shida watu wanaingiza chip kusoma taarifa zako. JPM kaingia kavuruga kila kitu akaanza ujinga wake.Ingekuwa uwezo wangu nngetengeneza smart card yenye chip watu wanakuwa na uwezo wakuitumia kwenye kila jambo kama utambulisho, usafiri(passport), banks, inahifadhi taarifa/nyaraka zako, kulipa huduma n.k
Hizi ni excuses tu , immigration wapo vizuri na ni watanzania tu, nida waboreshe huduma zaoTofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?
Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.
Umeandika nilichokuwa nakiwaza, sina cha kuongezaTofautisha customer base ya Immigration na NIDA. Ni watanzania wangapi wanahitaji passport? Ni wangapi wanahitaji vitambulisho vya uraia?
Pia linganisha uelewa wa makundi hayo mawili. Ni mbingu na ardhi! Immigration wakipewa NIDA kama unavyoshauri there won't be any significant difference unless kitu cha ziada kifanyike.