NIDA wapewe uhamiaji kwa muda wapo smart sana sijawahi ona taarifa za passport zimekosewa

Kiufupi wewe ni nguruwe aina ya large white..Kila comment Yako lazima umsingizie jpm kuwa alivuruga wakati wakati na uongo wako.
 
NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.

Wangepewa muda wakujitathimini.

Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.

Sijawahi ona passport imekosewa

Ni wazi kuwa majeshi yetu yapo vizuri kwenye kusimamia majukumu yao.
Siasa tu ndio zinaharibu.

NIDA hawana usimamizi mzuri.
 
Kiufupi wewe ni nguruwe aina ya large white..Kila comment Yako lazima umsingizie jpm kuwa alivuruga wakati wakati na uongo wako.
Mkuu ulininyan'ganya tenda ya kusafisha mtaro wako, nilikukosea nini?
 
Acha kutetea ujinga, mbona NMB au CRDB wanatoa ATM card na mobile app inayosoma sio tu taarifa za NIDA ila hadi miamala kwenda taasisi zote nchini. Ila eti kwa serikali ndio MCHAKATO? hao NMB wanawezaje na NIDA wanashindwaje?

Mimi binafsi siku naomba ATM card waliingiza tu namba ya NIDA wakanyonya taarifa zote mpaka sign hao NIDA namba wanazo kinachowachelewesha kutengeneza vitambulisho ni nini?

Hata driving licence unaomba leo baada ya siku chache tu umeipata why not NIDA?
 
Unajua kwamna CRDB na NMB wanakula 18000 kwa mwaka kama gharama za kadi??hii inakupa picha gani???
Hatuitetei serikali ya ccm lakini hatuwezi isimanga kwa kutumia upumbavu.

Sijui CRDB na NMB wana wateja wangapi ktk servers zao kiasi cha kuhitaji nguvu kubwa kiasi kipi kutoa huduma,kulinganisha na watu milioni zaidi ya 40 wanaohitaji huduma ya vitambulisho,na huku idadi ikiongezeka kila mwezi.
 
Hii so hoja, mbona wanaoomba vitambulisho vya mpiga kura ni wengi kuliko wanaoomba NIDA ila bado vinapatikana haraka. Mind you vitambulisho vya mpiga kura huombwa misimu kadhaa tu tofauti na NIDA wanaotoa kila siku.

Tuache kulea ujinga hawa ni wazembe, hiyo kazi wakipewa Deloitte sijui JWTZ utashangaa wiki moja tu vitambulisho vimesambaa kote.

Dawa ni walipwe commission kulingana na vitambulisho wanavyotoa.
 
Ikiamua inaweza,lakini sio kwamba sababu ni uzembe wa taasisi,ni kwamba serikali haijaamua kuingiza miguu na mikono huko.

Pesa nyingi inahitajika,hasa katika kuboresha data center,vifaa mbali mbali kama computer,scanner,wafanyakazi na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wa kazi.
Tuache kulea ujinga hawa ni wazembe, hiyo kazi wakipewa Deloitte sijui JWTZ utashangaa wiki moja tu vitambulisho vimesambaa kote.
Unaweza ukaamini kwamba NIDA kuna watu kibao kutoka jeshini???
Dawa ni walipwe commission kulingana na vitambulisho wanavyotoa.
 
Hapa naona kama JPM umemsingizia maana mimi nina kitambulisho tangu 2013 wakati huo JPM akiwa waziri wa Mifugo/Ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…