Ebana wadau wana jf, hii siyo tetesi, bali nina ushahidi, NIDA wanaitana kwa kujuana. Nina jirani yangu mmoja ameitwa interview tayari. Nilimuuliza ali-aply lini akasema wala hakuwahi apply, alipigiwa simu, akaenda hata interview hakufanyiwa, akaambiwa ataitwa kwa training any time.
Akasema kuna mmmmangi mmoja kamuunganisha, si unajua kigogo wa nida ni Mmmmangi.
Hii ni kasoro kubwa kwa nida ambayo ilikuwa criticised, afu inaanza na haka ka mchezo kachafu.
Take care.
Kaka sio Nida Peke yake. Nothing is based on qualifications any more. Sijui udaktari, pilot, Tanesco, Mikataba ya madini, Mahakimu na ................. endelea mwenyewe. Nchi inaelekea pabaya. NA SIO KINAMANGI PEKE YAO. This is a serious problem.
[/B]Sio "nchi inaelekea pabaya" bali ni NCHI IMESHAFIKA PABAYA
Boss wangu sishangai unapowataja hawa jamaa akina mangi ni hatar sana na ndo mchezo huo huo wanaoufanya TRA wanaweka vigezo vya ajabu km upper 2nd ni ya nini kwa mfanyakazi anaekamata bidhaa za magendo km zaman hizo kazi zilikuwa zinafanywa na watu wa kidato cha nne tu leo hii graduate wa kawaida unamwona hawezi hiyo kaz,na serikali ikiendelea kuwalea hivyo nchi hii haitaendelea kwani wanalindana mtu na mdogo wake hakuna wa kufichua uozo.wanjiwekea malengo ya chini ya kukusanya kodi ili mwisho wa siku waonekane wamevuka makisio kutulaghai kumbe pesa nyingi za nchi zinaishia mifukoni mwao!
Angalia, sio wote wanaopata lower second walifanya mchezo. Imagine mtu anaekaa mtaani ambako lazima ajipikie, akachote maji na shuguli nyingine za home. Usije ukajilinganisha nae hata ka una upper second kitaa kugumu bwana. Big up waajiri wote wasiotaja ma upper second. Kuhusu nida, hiyo system ipo tangu enzi za mwalimu, kinachotakiwa ni ku-fight kuiua. Sometimes wanatuepusha na matatizo kama ya UDOM.nafasi ni chache walioomba ni wengi zaidi ya 10,000+ unategemeaje lazima tuweke vitu vya ziada kuwapunguza inabidi kidogo ujutie ule mchezo uliofanya ukapata lower class au pass vinginevyo tutalalamika bila sababu. kwa Tz tunaamini aliyefaulu mtihani ndio mwenye uwezo zaidi(ingawa siyo lazima ikawa hivyo) ni bora uwe na 1st au uper second chance ya kukosa inakuwa ndogo.
Jino kwa jino, hiyo avata yako huwa inaniacha hoi sana (inanibamba mazee). Nahisi inafanana na ukweli. Ila ungekuwa mrefu kidogo nadhani hata mawazo yangepanuka zaidinafasi ni chache walioomba ni wengi zaidi ya 10,000+ unategemeaje lazima tuweke vitu vya ziada kuwapunguza inabidi kidogo ujutie ule mchezo uliofanya ukapata lower class au pass vinginevyo tutalalamika bila sababu. kwa Tz tunaamini aliyefaulu mtihani ndio mwenye uwezo zaidi(ingawa siyo lazima ikawa hivyo) ni bora uwe na 1st au uper second chance ya kukosa inakuwa ndogo.