Nidhamu kati ya Simba, wachezaji na taifa stars

muda wa ukombozi

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
129
Reaction score
118
Juzi kocha wa Taifa Stars, Emanuel Amunike raia wa Nigeria aliamua kuwafuta wachezaji takribani wa tano wa timu ya Simba ambao ni Dilunga, Bocco, Mkude, kichuya, Nyoni kwa kile kinachodaiwa ni kuchelewa kufika kwenye kambi ya Timu ya Taifa.

haibishaniwi wachezaji hao inawezekana walichelewa kufika kwenye kambi hiyo, je walipewa muda wa kujieleza? Right to be heard....., wachezaji hao ni waajiriwa wa klabu zao, lazima wapewe maelekezo na klabu zao, je kabla ya kupiga hilo panga mlifanya mawasiliano yoyote kujua sababu za wao kuchelewa.

Kama hamjafanya hivyo,Tff pamoja na kocha kwa ujumla amuoni mnatengeneza chuki kati ya wachezaji na watanzania wapenda soka, Leo hii watu waone Mkude au Dilunga anachelewa kwenye kambi ya Taifa, kiurahisi sisi mashabiki tutatafsiri kuwa anaringa, sasa tutaanza kujiuliza anaringa ana nini? wakifika huko kwa kina farid musa au samatha itakuaje sasa? na hapa kwetu kuna uyanga na usimba, ukiwakuta wale wa upande mwingine lawama zote wanawapa wachezaji kwa maneno mengi ya kebehi.

Lakini ikumbukwe kama ili limefanyika kwasababu ya kupata kick na kufanya amsha amsha kwa wapenda soka, mmewaaribia hawa vijana kwa mashabiki wao wanavyo tafsiriwa inawezekana tofauti, na hii ndiyo inatengeneza chuki kati ya kocha na wachezaji nakufanya wachezaji wacheze chini ya kiwango.

Hakuna kitu kizuri kama kuthamini, kujali mtu mwingine kuliko kufanya kazi kwa mihemuko ili upate kick kwa kuwadharirisha wengine kwenye jamii, Amunike kama umefanya hivyo kwa kushinikizwa na hao watanzania wenzetu hapo Tff, kuwa makini miluzi mingi inampoteza mbwa.

Hakuna kipindi ambacho hamasa ya soka ilikuwa juu kama kipindi cha Maximo kwenye timu ya Taifa, na alikuwa mkali na misimamo hatari sana lakini hakuwahi kufanya hiki ambacho kimefanyika, sio kwamba adhabu haziitajiki la asha.....tufuate taratibu na kanuni tulizojiwekea, soka ni mchezo wa hisia unaweza ukatengeneza chuki, wachezaji wasikae kwa raha mtaani kwao, kwasababu ya chuki na hasira za mashabiki.

Tutafute njia sahihi ya amsha amsha tusitake kupitia kwa wachezaji walioichezea timu yetu kwa muda mrefu alafu leo mnataka waishie kwenye dimbwi la aibu.........

TAIFA STARZ "THE BLUE OF AFRICA "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mexico federation won't punish players after late-night party
Jun 6, 2018
  • i

    ESPN staff
The Mexico Football Federation will not punish players who took part in a late-night party before the national team flew to Europe ahead of the World Cup.
Mexican tabloid magazine TV Notas published photos of at least eight players partying in Mexico City after Saturday's friendly victory over Scotland.
The photos became a major story in Mexico on Tuesday as the team arrived in Copenhagen, Denmark, to train ahead of the World Cup.
But Guillermo Cantu, general secretary of the Mexican football federation, told reporters in Cancun that the federation would not be imposing any fines or taking any disciplinary action against those involved.
"The day was a free day," Cantu said. "That's the risk you take with [giving] freedom. In truth, it's not whether we like [what the players may have done] or not, simply that we have to be clear that they haven't missed any training or a meet-up."
Cantu also said it was not up to him to judge the players on their behavior when they are not with El Tri.
"The subject of values is separate. I'm not going to condemn the players. It's a personal and free decision of how they can use their [free] time, which was agreed upon a week before the journey [to Denmark]," Cantu said. "The topic of freedom is complex."
ESPN's John Sutcliffe reported that captain Rafa Marquez spoke with the players in the team hotel in Copenhagen ahead of training on Tuesday to remind them of their responsibilities ahead of Russia 2018, indicating that the event had damaged the group's image.
It's not the first time this kind of distraction has occurred in the history of the Mexico national team.
In September 2010, Efrain Juarez and Carlos Vela were suspended for their part in allegedly organizing a party in a Monterrey hotel, with 11 other players fined.
In June 2011, eight Mexico players were banned from the Copa America after getting caught bringing women back to the team hotel.
ESPN FC writer Tom Marshall contributed to this story.
 
Juzi kocha wa Taifa Stars, Emanuel Amunike raia wa Nigeria aliamua kuwafuta wachezaji takribani wa tano wa timu ya Simba ambao ni Dilunga, Bocco, Mkude, kichuya, Nyoni kwa kile kinachodaiwa ni kuchelewa kufika kwenye kambi ya Timu ya Taifa.

haibishaniwi wachezaji hao inawezekana walichelewa kufika kwenye kambi hiyo, je walipewa muda wa kujieleza? Right to be heard....., wachezaji hao ni waajiriwa wa klabu zao, lazima wapewe maelekezo na klabu zao, je kabla ya kupiga hilo panga mlifanya mawasiliano yoyote kujua sababu za wao kuchelewa.

Kama hamjafanya hivyo,Tff pamoja na kocha kwa ujumla amuoni mnatengeneza chuki kati ya wachezaji na watanzania wapenda soka, Leo hii watu waone Mkude au Dilunga anachelewa kwenye kambi ya Taifa, kiurahisi sisi mashabiki tutatafsiri kuwa anaringa, sasa tutaanza kujiuliza anaringa ana nini? wakifika huko kwa kina farid musa au samatha itakuaje sasa? na hapa kwetu kuna uyanga na usimba, ukiwakuta wale wa upande mwingine lawama zote wanawapa wachezaji kwa maneno mengi ya kebehi.

Lakini ikumbukwe kama ili limefanyika kwasababu ya kupata kick na kufanya amsha amsha kwa wapenda soka, mmewaaribia hawa vijana kwa mashabiki wao wanavyo tafsiriwa inawezekana tofauti, na hii ndiyo inatengeneza chuki kati ya kocha na wachezaji nakufanya wachezaji wacheze chini ya kiwango.

Hakuna kitu kizuri kama kuthamini, kujali mtu mwingine kuliko kufanya kazi kwa mihemuko ili upate kick kwa kuwadharirisha wengine kwenye jamii, Amunike kama umefanya hivyo kwa kushinikizwa na hao watanzania wenzetu hapo Tff, kuwa makini miluzi mingi inampoteza mbwa.

Hakuna kipindi ambacho hamasa ya soka ilikuwa juu kama kipindi cha Maximo kwenye timu ya Taifa, na alikuwa mkali na misimamo hatari sana lakini hakuwahi kufanya hiki ambacho kimefanyika, sio kwamba adhabu haziitajiki la asha.....tufuate taratibu na kanuni tulizojiwekea, soka ni mchezo wa hisia unaweza ukatengeneza chuki, wachezaji wasikae kwa raha mtaani kwao, kwasababu ya chuki na hasira za mashabiki.

Tutafute njia sahihi ya amsha amsha tusitake kupitia kwa wachezaji walioichezea timu yetu kwa muda mrefu alafu leo mnataka waishie kwenye dimbwi la aibu.........

TAIFA STARZ "THE BLUE OF AFRICA "

Sent using Jamii Forums mobile app
TFF kwa kushirikiana na Manager wa Simba, wachezaji wamepigiwa simu hadi saa saba za usiku ili at least waripoti saa kumi na mbili Asubuhi.
 
Unaanzaje kumpigia mtu simu saa 7 usiku kwani kunajambo gani la muhimu kiasi hicho.... Mida ya kulala tunapigiana simu za mazoezi
 
Kila mtu na perspective yake. Simu ilikuwa ni reminder tu.
 
Muache kocha afanye kazi yake kama anavyoijua vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna makocha wa kiwango cha juu na mafanikio zaidi ya huyu,lakini hawajawahi fukuza wachezaji kwa aina hii.Yeye alikuwa na nidhamu ya kiwango hicho?
Aende kwao akafanye hivyo aone! Lazima kuna walio nyuma ya hili.
 
Natamani hii game ingechezwa hapa Dar ili niuze jezi za Uganda cranes. Maana kuna watu wa timu moja wanaona wameonewa na wamechukizwa sana na maamuzi ya kocha na Kidau hadi wanataka na Manula nae ajitoneshe mguu wake ili asicheze.
 
Write your reply...walitakiwa wapewe onyo kwanza na siyo kuwafukuza kama wanyama jamani hawa ni watanzania siyo wakimbizi
 
Kwani wamefukuzwa au wameondolewa katika timu na wameitwa wengine hii timu si wachezaji fulani ni kocha akiona huyu amfai na ufuati maelekezo yake anamuondoa na kuita mwingine tuache mazoea
 
Kocha afanye atakalo kikubwa sis tunataka matokeo chanya tu
 
Back
Top Bottom