Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

tuliza mihemko yako nyumban na famila yako gentleman,

na kwakweli itapndeza zaidi ukiwa unafuatilia mubashara kwa TV 🐒🐒

Ipi faida ya kuunganisha mifumo mitatu kwa pamoja. Mfumo wa NEC, Mfumo wa NIDA na mfumo wa CCM.

Kikawaida watu wengi wanaamini kwamba tume ya Taifa ya uchaguzi tulioipa dhamana ya kulinda kura zetu itatenda haki bila hata ufuatiliaji. Hata hivyo imeonekana kwamba tume ya Taifa ya uchaguzi inashirikiana na chama tawala CCM pamoja na mifumo mingine ya nchi kuweza kuibia Watanzania kura zao.

Hapa chini nitaeleza kwa lugha rahisi ili kila mtu apate kuelewa ni kwa namna gani CCM kwa kushirikiana na taasisi nyingine za kiserikali inahakikisha haitotoka madarakani kupitia sanduku la kura. Hata kama ingetumika Electronic Voting System. Hapa nitafanyia kazi taarifa za msingi zilizotolewa na kada wa CCM balozi Humphrey Polepole.

Mfumo wa NIDA.
Mfumo wa NIDA unahifadhi taarifa za wananchi (majina, tarehe ya kuzaliwa, namba za vitambulisho, anuani n.k). Hii ni kwamba kwa kila mpiga kura halali ni lazima atakuwa amesajiliwa taarifa zake kwenye mfumo huu wa NIDA, hivyo waangalizi wa kimataifa wanapokuja kuhakiki uhalali wa kura huhakikisha kwamba taarifa za wapiga kura zinapatikana pia kwenye mfumo wa NIDA.

Mfumo wa Tume ya Uchaguzi (NEC)
Huu unahifadhi taarifa za wapiga kura waliandikishwa, vituo vyao na taarifa za kupiga kura. Hivyo kila mpiga kura hatakama haujui amempigia nani unaweza kupata taarifa zake. Kujua kama ni mpiga kura halali utahakikisha kwamba taarifa zake zinaoana na taarifa za mfumo wa NIDA.

Mfumo wa CCM
Mfumo huu ndio hutumika kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa zote za NIDA za kufanikisha azma yao ovu ya kuiba kura na kuziweka kwenye ushindi wa mgombea wanaye mtaka kwenye mfumo wa NEC. Wataalam wa IT hufanya kazi hiyo na hii huhusisha scripts kama SQL. Ni lugha ya Database ambapo unaweza kuingiza taarifa nyingi ndani ya sekunde moja tu kwa kutumia one command.

Hivyo basi leongo la CCM na maharamia wake kuunganisha mifumo hii ni ili kutoa urahisi wa kupenetrate na kuiba kura kwa usmart wa Hali ya juu kiasi kwamba hakuna atakaye weza kuwashitaki kwa sababu taarifa zote zinakuwa ni za ukweli na zimepitia mifumo sahihi. Hata wakija waangalizi wa kimataifa kukagua mfumo wao wataona kwamba kila kitu kimekwenda vizuri ila tu idadi ya kura kwenye vituo itaongezeka tofauti na walio jitokeza kupiga kura.

Pia huwapa urahisi CCM kumonitor kila kitu kinachoendelea kwenye NEC bila kuonekana dhahiri wanaingilia NEC. hiyo hurahisisha kufanya intervention ama manipulation hata kutisha viongozi wa NEC endapo itaonekana matokeo yanataka kutangazwa vinginevyo. Wataalamu huhakisha muda wote kwamba mifumo inasomana. Na hutoa reports na updates za kila hatua ya uchaguzi kwa siri.

Kwa hivyo kwa mfumo huu ni wazi kwamba hata ukipiga kura ama usipige kura bado kura yako itahesabika imepigia mgombea wa CCM. Na hii ndio sababu kuu inayowapa jeuri wamgombea wa CCM kujiona kwamba watashinda uchaguzi kwa namna yoyote ile. Uwepo wa tume ya Taifa NEC ni geresha ya kuwahadaa Watanzania.
 
Hayati baba wa taifa mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha hata iweje.

Nimeshangazwa na mtu aliezoea kuishi kinafiki kwa kujipendekeza kwa wakubwa aliowapenda na uovu wao tena kwa nidhamu ya uoga, eti leo anaomba msamaha kwa alio wahadaa.

hizo ni hadaa za shetani kujiita ibilisi huku maskini ya Mungu wenye imani haba wakishangilia wanavyotapeliwa kisaikolojia na ibilisi huyo.

Tuwe wakweli tu,
polepole anapitia mateso ya kisaikolojia akiwa mafichoni mpweke huku akipuuzwa na kundi kubwa la watu na kutiwa moyo na wachache waliopoteza uelekeo kama yeye.

Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania utafanyika kwa amani sana Oct 29,2025. Tujitokeze sote kupiga kura 🐒
Ccm inashindana na nani kwaio gentleman 😊 huoni kua Kuna mambo hayapo sawa.

Yule DC Ali sema Kuna mambo hufanywa maporini.

Jibuni hoja za POLEPOLE mbona mnatanua magori na mnafanya personal attack kaka.

Maswali ya kujiuliza JE chaguzi zetu ni huru na haki ?? Kwa nini Kila MTU akiwashaur nyinyi mnamuona adui??
 
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzaniam

Mmoja ya mapumbavu,mabinafsi,majinga,madhalimu,majizi yanayoishi Kwa Hila na uongo wanaojitajirisha Kwa ujinga wa wengine badala ya kufanya kazi
 
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Huku niliko niliwahi kuona majiko ya gesi yanatembezwa mitaani na watu kuhamasishwa kuyanunua Kwa nusu bei lakini kwa sharti la kuwa na namba ya Nida.
Nilijiuliza sana nini uhusiano wa mimi kupunguziwa bei halafu nipewe sharti la kukabidhi namba yangu ya Nida?
Leo ndio nimeungaiaha dots kupitia kwa hii taarifa nzito ya HP.
Kweli kila kitu kina muda wake. Unaweza kujitahidi kuficha uovu wako lakini ni suala la muda tu.
 
Gentleman,
tunakwenda na kumaliza na mwendo huu huu wa speed and standards kuelekea uchaguzi mkuu na hata baada ya uchaguzi mkuu bila mbambamba yoyote 🐒
Hujajibu swali, na narudia usiwe mnafiki.
Matatizo huwezi kuyafukia na utegemee kila kitu kitakuwa shwari.
TUJISAHIHISHE- TANU iliwahi sema hivyo.
 
Ccm inashindana na nani kwaio gentleman 😊 huoni kua Kuna mambo hayapo sawa.

Yule DC Ali sema Kuna mambo hufanywa maporini.

Jibuni hoja za POLEPOLE mbona mnatanua magori na mnafanya personal attack kaka.

Maswali ya kujiuliza JE chaguzi zetu ni huru na haki ?? Kwa nini Kila MTU akiwashaur nyinyi mnamuona adui??
Gentleman,
madhumuni, malengo na msingi wa kuanzishwa kwa chama cha mapinduzi CCM ni kushiriki uchaguzi, kushinda uchaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia waTanzania na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa usawa, uwazi na haki.

hayo mengine sijui ya kushindana n.k,
huenda ni madhumuni ya kuanzishwa kwa vyama vingine.
So, suala la CCM kushindana halipo kabisa kwenye malengo ya kuanzishwa kwake ispokua kushinda uchaguzi ndio lengo kuu.

hayo mengine nadhani si muhimu sana na hayana msingi, but that's the point you should take 🐒
 
Gentleman,
madhumuni, malengo na msingi wa kuanzishwa kwa chama cha mapinduzi CCM ni kushiriki uchaguzi, kushinda uchaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia waTanzania na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa usawa, uwazi na haki.

hayo mengine sijui ya kushindana n.k,
huenda ni madhumuni ya kuanzishwa kwa vyama vingine.
So, suala la CCM kushindana halipo kabisa kwenye malengo ya kuanzishwa kwake.

hayo mengine nadhani si muhimu sana na hayana msingi, but that's the point you should take 🐒
CCM ya sasa ni chama cha Wahuni, kina GSM, Rostam, Kikwete, Mo Dewji, Bakhresa nk. Hamna uhalali tena wa kuongoza hi nchi
 
Hujajibu swali, na narudia usiwe mnafiki.
Matatizo huwezi kuyafukia na utegemee kila kitu kitakuwa shwari.
TUJISAHIHISHE- TANU iliwahi sema hivyo.
Gentleman,
hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi katika nchi ni shwari kabisa hususani tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October 29,2025.

matatizo yako binafsi ni vizuri yakatafutiwa suluhisho binafsi bila kulihisisha taifa zima 🐒
 
Naona leo umeshikwa pabaya kila baada ya saa unashusha uzi mpya.

pole ikiuma chomoa taratibu
 
Miaka nenda rudi nimekuwa nikisema kuwa hakuna maana yoyote ile kushiriki katika chaguzi nchi hii.

Hiyo ni kwa sababu chaguzi zote zimekuwa ni maigizo tu.

Nimekuwa nikisema kwamba, kushiriki uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na mwenyekiti wa CCM ambacho ndo chama tawala, ambaye ndo Rais wa nchi, ambaye pia naye ni mgombea urais kwenye uchaguzi, ni umajinuni.

Ni umajinuni kwa sababu ya mgongano wa wazi kabisa wa kimaslahi uliopo hapo.

Mgongano huo wa kimaslahi unatokana na Ukweli wa kwamba, hao watu wa kwenye tume ya uchaguzi wako beholden [sijui Kiswahili chake] kwa yule aliyewateua.

Hili ni jambo rahisi sana kuliona na kulielewa.

Lakini kwa bahati mbaya, kwa watu walio wengi, si suala rahisi kivile. Na sijui kwa nini iko hivyo.

Kibao kingegeuzwa, yaani hiyo tume ya uchaguzi iundwe na mwenyekiti wa CHADEMA, kwa mfano, ambaye naye ni mgombea urais, sidhani kama CCM ingelikubali kushiriki kwenye uchaguzi chini ya mazingira kama hayo.

Jana Humphrey Polepole kasema kwamba hiyo tume ya uchaguzi imeunganishwa sijui na NIDA, blah blah blah.

Basi tokea hiyo jana, baadhi ya watu eti ndo wameamini sasa kuwa kweli CCM huwa inafanya figisu kwenye chaguzi.

Kwa taarifa yenu sasa, hata kabla ya uwepo wa NIDA, CCM na tume zake za uchaguzi zimekuwa zikifanya figisu.

Muulizeni hayati Maalim Seif Sharif Hamad alifanyiwa nini kule Zanzibar kwenye uchaguzi wa mwaka 1995.

Hakukuwepo na NIDA wakati huo.

Hii ya NIDA ni moja tu ya mbinu katika kibanda chao cha kufanyia figisu.

Tatizo la msingi lipo kwenye namna chombo kilicho na mamlaka ya kuendesha chaguzi, kinavyoundwa.

Tatua tatizo la msingi, hayo mengine yatajirekebisha accordingly.

Watanzania wanasikitisha sana kwenye uwezo wao wa common sense.

Kitu kilekile ambacho wengine tumekuwa tukikisema kwa miaka mingi tu sasa, jana kakisema Polepole, imekuwa kama vile ni habari mpya!

Inashangaza sana na inasikitisha pia.
 
CCM ya sasa ni chama cha Wahuni, kina GSM, Rostam, Kikwete, Mo Dewji, Bakhresa nk. Hamna uhalali tena wa kuongoza hi nchi
Gentleman,
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba, huenda CCM ikatawala Taifa hili milele na milele ikiwa aina ya wanainchi kama wewe ndio eti wapambanaji first class front line 🤣
 
Miaka nenda rudi nimekuwa nikisema kuwa hakuna maana yoyote ile kushiriki katika chaguzi nchi hii.

Hiyo ni kwa sababu chaguzi zote zimekuwa ni maigizo tu.

Nimekuwa nikisema kwamba, kushiriki uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na mwenyekiti wa CCM ambacho ndo chama tawala, ambaye ndo Rais wa nchi, ambaye pia naye ni mgombea urais kwenye uchaguzi, ni umajinuni.

Ni umajinuni kwa sababu ya mgongano wa wazi kabisa wa kimaslahi uliopo hapo.

Mgongano huo wa kimaslahi unatokana na Ukweli wa kwamba, hao watu wa kwenye tume ya uchaguzi wako beholden [sijui Kiswahili chake] kwa yule aliyewateua.

Hili ni jambo rahisi sana kuliona na kulielewa.

Lakini kwa bahati mbaya, kwa watu walio wengi, si suala rahisi kivile. Na sijui kwa nini iko hivyo.

Kibao kingegeuzwa, yaani hiyo tume ya uchaguzi iundwe na mwenyekiti wa CHADEMA, kwa mfano, ambaye naye ni mgombea urais, sidhani kama CCM ingelikubali kushiriki kwenye uchaguzi chini ya mazingira kama hayo.

Jana Humphrey Polepole kasema kwamba hiyo tume ya uchaguzi imeunganishwa sijui na NIDA, blah blah blah.

Basi tokea hiyo jana, baadhi ya watu eti ndo wameamini sasa kuwa kweli CCM huwa inafanya figisu kwenye chaguzi.

Kwa taarifa yenu sasa, hata kabla ya uwepo wa NIDA, CCM na tume zake za uchaguzi zimekuwa zikifanya figisu.

Muulizeni hayati Maalim Seif Sharif Hamad alifanyiwa nini kule Zanzibar kwenye uchaguzi wa mwaka 1995.

Hakukuwepo na NIDA wakati huo.

Hii ya NIDA ni moja tu ya mbinu katika kibanda chao cha kufanyia figisu.

Tatizo la msingi lipo kwenye namna chombo kilicho na mamlaka ya kuendesha chaguzi, kinavyoundwa.

Tatua tatizo la msingi, hayo mengine yatajirekebisha accordingly.

Watanzania wanasikitisha sana kwenye uwezo wao wa common sense.

Kitu kilekile ambacho wengine tumekuwa tukikisema kwa miaka mingi tu sasa, jana kakisema Polepole, imekuwa kama vile ni habari mpya!

Inashangaza sana na inasikitisha pia.
Gentleman,
nikuhakikishie tu,
chaguzi zote Tanzania nitaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi itaendelea kua ndio msimamizi wa chaguzi zote kuu bila kujali upotoshaji au uzushi wa wanasiasa waliopoteza uelekeo nchini 🐒
 
Mtoa MADA huu Uzi wangapi unamshambulia Polepole.
Kaa chini basi andika Uzi mmoja unaojitosheleza umjibu hoja zote ili tupumzike
 
Naona leo umeshikwa pabaya kila baada ya saa unashusha uzi mpya.

pole ikiuma chomoa taratibu
Yes gentleman,
daima mambo yangu hua ni mapya, ya kweli na ya msingi tu kwa faida ya wadau wote wa JF na maslahi ya Taifa.

Heshima ni kitu cha bure gentleman 🐒
 
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lo mmeumbuka vibaya ,safari hii wizi wa kura ccm mwisho chalinze ,
 
Sahihi kabisa, polepole mtu wa hovyo sana, hovyo kabisa, hovyo sana sana
 
Mtoa MADA huu Uzi wangapi unamshambulia Polepole.
Kaa chini basi andika Uzi mmoja unaojitosheleza umjibu hoja zote ili tupumzike
samahani gentleman ikiwa umelemewa na ukweli wa mambo ya msingi kwenye hoja zangu mahususi mezani.

Lengo ni kuwanusuru kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa.
I hope tupo pamoja 🐒
 
Gentleman,
hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi katika nchi ni shwari kabisa hususani tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October 29,2025.

matatizo yako binafsi ni vizuri yakatafutiwa suluhisho binafsi bila kulihisisha taifa zima 🐒
Kwa nini unakwepa swali lilo wazi?
Katiba ya chama si imekiukwa. unafiki hausaidii kwa kukwepa kujibu hilo.
Na hilo ndo anguko la mama kimaadili , na wanaomfadhili!
 
Lo mmeumbuka vibaya ,safari hii wizi wa kura ccm mwisho chalinze ,
hiyo agenda ya kuibiwa kura si ni ya chama kilichokufa gentleman? Kile cha utekaji, saivi kinaitwa chadema masalia 🐒
 
Kwa nini unakwepa swali lilo wazi?
Katiba ya chama si imekiukwa. unafiki hausaidii kwa kukwepa kujibu hilo.
Na hilo ndo anguko la mama kimaadili , na wanaomfadhili!
Jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka au kujaribu kuhamisha mjadala 🐒
 
Back
Top Bottom