Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Angekuwa anajipendekeza angebakia Balozi, na kumpigia mapambio huyo Samia wenu, mtekaji, mbakaji, mlawiti na muuaji. Lakini ameamua kujitolea kwa ajili ya taifa hili. Ndiyo anayo mapungufu yake, ndiyo maana ameomba msamaha, Ila ameeleza ukweli. Hizo chaguzi zote zinaibiwa penda msipenda, hivyo vyama vyote, CHAUMMA, ACT-Wazalendo na vingine vyote ni fake parties........Chama cha upinzani ni moja tu CHADEMA tena chini ya Lissu, ingekuwa Mbowe.......Hapana, huyo anahongeka kirahisi sana. Hivi ninyi mnafikiri CCM ni wajinga? Wanajua jinsi ya kucheza na akili zenu, na wataendelea kuiba kura kama hakuna reforms. Kwa hii system CCM haiwezi kushindwa na chama chochote, wapo mbele zaidi kupanga mbinu zote za wizi.
 
hiyo agenda ya kuibiwa kura si ni ya chama kilichokufa gentleman? Kile cha utekaji, saivi kinaitwa chadema masalia 🐒
Huo mfumo wa nida to ccm to nec lazima ufe mpende msipende, jeuri yote kumbe ni kutokana na chimbo hili sio, mmepatikana
 
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka au kujaribu kuhamisha mjadala 🐒
Na ndio tatizo lako, kukwepa ukweli na kushabikia yasiyo na tija.
MSINGI MMOJA WA CCM: Nitasema kweli daima , fitina ni mwiko!
 
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kajipendekeza kwa mkeo au vipi?
 
Philosophical thoughts by Bishop Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)

WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?

Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:

1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.

2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu

Chagua kwa hekima.

3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?

4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?

5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?

6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?

Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
 
Maadamu huyo ni Mwana CCM mwenzako mtukane utakavyo! Ameshamwaga mboga amemaliza!
 
Ulitaka awe chumba kimoja na nani yako wakati anatoa ushauri kwamba huyo nani yako ndiye aje akuthibitishie kuwa alitoa ushauri muda mrefu na ushauri wake haukusikilizwa?

Anaosema kwamba aliwapigia simu, kuwaandikia maoni na hata kuwaona ana kwa ana na kutoa ushauri wake si wapo?

Kabla ya kuandika haya madudu yako umewapigia kuwauliza kama kweli Pole pole alitoa ushauri ama la? Kama hujafanya hivyo unasemaje alikuwa na uwezo wa kushauri? Unataka uthibitisho gani? Kutoka kwa nani ndipo uamini?

Polepole alikuwepo enzi za Magufuli wakati mambo ya hovyo yanafanyika na inawezekana alishiriki kwa namna.moja au nyingine.

Je alikuwa peke yake kwenye Chama na Serikali ? Hawa wakubwa hakuwepo? Yanayoendelea nchini nani kashika mpini? Wameshasema chochote ili kuyakomesha? Kama hapana, kwa Nini?

Mtu aliyeshiriki kwenye ubaya wakati ule, Sasa amejitokeza na kukiri Kisha kuomba msamaha na wale ambao alishiriki nao wakati ule na Sasa mambo mabaya yanaendelea chini ya uongozi wao, unamhukumu kwa lipi?

Sawa watu waende wakapige kura kama unavyoshauri. Vipi kuhusu hoja au tuhuma alizotoa? Kwa nini usiseme wahusika katika NIDA, CCM, INEC wajitokeze kujibu ili kuondoa hicho unachokiita kudanganywa na msukule??

Kwa tuhuma alizotoa Polepole dhidi ya NIDA, bila wao kujibu unapata wapi nguvu za kumshawishi mtu akapige kura?

Unaposema Polepole anazungumza akiwa mafichoni, tumpuuze kwa kigezo hicho?

Kesha sema wanamtafuta sana baada ya kulisanua na kumwaga mboga. Kwa haya anayosema Polepole, unaashangaa nini kwake kuongea akiwa mafichoni?

Unataka aongee akiwa anajulikana alipo ili iweje? Mnapokuwa mnaandika humu acheni mihemko, kukurupuka na msiwe mmetumia vilevi vya aina yoyote.

Hata kama wewe ni propagandist basi rudi darasani upya vinginevyo kwa conclusion ya haraka mtu anaweza kukuita chawa mtegemea buku buku!
 
Chochea kuni slow slow wameanza kubwabwaja ovyo. Hoja ujibiwa kwa hoja na c vinginevyo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.

Hivi sasa,
historia ina muhukumu kwa fedheha tena mbele ya umma huku akiwa mafichoni pekeyake bila msaada. Maisha matamu ndani ya V8 yalimpumbaza na kuendekeza unafiki wa kuona kila kitu kiko sawa wakati akiwa na nafasi, hali ya kua hawa wanainchi anaojaribu kuwashawishi wamuelewe leo, walikua wakipiga mayowe kutwa kucha juu ya mambo mballimbali ambayo polepole aliona hayakua tatizo kwasasababu hakutaka kuwaudhi waliompatia nafasi ile.

Mateso ya kisaikolojia na upweke anayoyapitia polepole ni fundisho kwa wanafiki wengine wenye tabia za nidhamu za uoga kama huyo msukule. Huenda anaelekea kuchanganyikiwa akiwa huko huko mafichoni.

Kama taifa,
Twendeni kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa amani, tukaamue mustakabali mwema wa Taifa letu Tanzania bila kuyumbishwa na waliopoteza uelekeo kisiasa kama polepole. Na hakuna haja hata kidogo ya kubabaika na msamaha wa shetani ambae anataka kubadili jina na kua ibilisi, huko ni kujidanganya kinafiki tu.

Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema, ukishazoe kula nyama ya mtu, kamwe huwezi kuache. Hamphrey Polepole hawezi kuacha nidhamu ya uoga, kujipendekeza kwa wakubwa anaowapenda na unafiki hata kama ataomba msamaha wa damu na moto 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia anachukua namba za NIDA!

Nani ameruhusu zoezi hili?
Hii taarifa niliitoa siku nyingi sana wakati wa kuhakiki daftari la wapigakura.
 
Back
Top Bottom