Nidokeze haya kuhusu Trekta za South Afrika

Nidokeze haya kuhusu Trekta za South Afrika

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20211031-152839_Chrome.jpg

1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika.

2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine
3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje?
4.Nimeona wanauza Massey MF 290 4WD. Hizi ni MF za namna gani maana nimezoea MF 290 ni 2WD. Kuna kipindi nilichat na mzungu akaniambia ni old model hazitengenezwi tena. Vipi uimara wake hizo MF 290 4WD?

5. Asanteni
 
[mention]Isanga family [/mention] mkuu njoo utupatie ufafanuzi maana huu ni uwanja wako kabisa
 
Back
Top Bottom