chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Wataalamu naombeni uzoefu wenu nataka nitoe kitu Cha kuchambuka kwenye gesi
🤣🤣 akadirie maji na moto mdogo na asiwe ana ufunua funua na kukolag auchee upumueMwachiluwi JF chief cooker njoo utoe muongozo,
Kijana anataka kula wali,amechoka kushindia chapati mbili na chai
Loweka mchele,kisha ukianza kuupika maji yasizidi mwisho wa mchele.Wataalamu naombeni uzoefu wenu nataka nitoe kitu Cha kuchambuka kwenye gesi
Rice Cooker inanukisha umeme ktk wali.Rice cooker natumia huwa unatoka vzr ila harufu ya wali inapungua
Af mchele hauloweki ndio maan mna kula wali ambao hajua chambuka1. Ujazo wa maji uwe sawa na ujazo wa mchele(kikombe mchele = kikombe maji).
2. Loweka mchele kwa dk 30 baada ya kuuosha.
3. Weka mchele maji yakiwa yametokota, tia chumvi na mafuta, funika.
4. Punguza moto uwe chini kabisa, subiri dk 20.
5. Zima moto subiri dk 10 - 15 bila kufunua wali umalize kuiva.
Umetoa wapi hii lol1. Ujazo wa maji uwe sawa na ujazo wa mchele(kikombe mchele = kikombe maji).
2. Loweka mchele kwa dk 30 baada ya kuuosha.
3. Weka mchele maji yakiwa yametokota, tia chumvi na mafuta, funika.
4. Punguza moto uwe chini kabisa, subiri dk 20.
5. Zima moto subiri dk 10 - 15 bila kufunua wali umalize kuiva.
Hili ndio jibu 100% sasaPikia maji ya baridi, weka Michele mafuta na chumvi Tenga na moto mdogo na ukipata sufuria lenye mfuniko wake usifunue Wala kugeuza Hadi uive
MwachiluwiWataalamu naombeni uzoefu wenu nataka nitoe kitu Cha kuchambuka kwenye gesi
Umetoa wapi hii lol
Mchele ulowekwe dk 30 ni vitumbua?
Asijaribu michele inatofautiana type siyo basmat huo!
Kuloweka dk 1 tu kama kuna ulazima
Ndo pishi langu hilo la miaka na miaka, mchele unachambuka vizuri tu. Jaribuni muone.Af mchele hauloweki ndio maan mna kula wali ambao hajua chambuka