Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mhhh hpnaNdo pishi langu hilo la miaka na miaka, mchele unachambuka vizuri tu. Jaribuni muone.
Hizo dakika nilizoweka sio za kibongo! Itapendeza zaidi uwe na saa karibu ili usiongeze muda.
Naipenda hii njia kwasababu haitoi ukoko.
NExt time jaribu kupika bila kuloweka,. Au kama mchele ni mzuri super usiuoshe 🔥🔥1. Ujazo wa maji uwe sawa na ujazo wa mchele(kikombe mchele = kikombe maji).
2. Loweka mchele kwa dk 30 baada ya kuuosha.
3. Weka mchele maji yakiwa yametokota, tia chumvi na mafuta, funika.
4. Punguza moto uwe chini kabisa, subiri dk 20.
5. Zima moto subiri dk 10 - 15 bila kufunua wali umalize kuiva.
Limenyooka kabisa ,. Pishi halina mbwembwe😂Hili ndio jibu 100% sasa