katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapana kwa kweli, masharti ya mganga ni kwamba zisioshwe.
Hayo masharti ni ili bwana asikuache au??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapana kwa kweli, masharti ya mganga ni kwamba zisioshwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15]mkuu ni makosa kupost uzi bila kupitia reception,na mimi ndio mwenye napokea new guest member na kuwapea utaratibu so kama venye umebonga kuwa wewe ni mgeni fanya vyenye nimekwambia,njoo pm nikukaribishe
cc Beatrice Kingsley
Hahaaa. Sina hakika kama hana akijuacho ndugu yangu ila anatuchemsha tu.[emoji28][emoji28][emoji28] muelekeze mgeni jamani, anajua venye wana fungua uzi ila hajui venye ya kutumia hii jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa asant sanaNmesoma koment ila watu wa JF mnambwembwe sana.
Nje ya Melo na wenzake ,Nani aliijua JF bila kupitia FB??? .
FB ndio nguzo pekee ambao hata hawa JF wanaitumia.
Alafu mbwembwe nipale unapomdharau mtu wa FB humu wakati uko uko FB ndio umejaza mipacha yako ya halisi na maisha yako kwa ujumla.
Ila mkiwa humu sasa ,mnajifanya vipangaa wa ujuaji kumbe hamna kitu.
Dear Bite , karibu JF ,hii ndo JF walioko humu ndio haohao walioko FB ..kwaiyo usitishwe sana nambwembwe zai za ujuaji ujuaju usokua na maana.
Sanasana humu hatupost picha zetu Halisi..humu tunazuga namapicha mapicha ya watu wengine basi siku ziende.
Mengine utayajua mdogo mdogo....Mimi sikufundishwa !!
Kwa taarifa yako Jf ndiyo mtandao pekee wa kijamii unao:-
Oooh sijawai kujuaKwa taarifa yako Jf ndiyo mtandao pekee wa kijamii unao:-
1.Elimisha
2.Furahisha
3.Vutia muda ote
4.etc etc etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sawasawa