Nieleweshwe jamani

Nieleweshwe jamani

mkuu ni makosa kupost uzi bila kupitia reception,na mimi ndio mwenye napokea new guest member na kuwapea utaratibu so kama venye umebonga kuwa wewe ni mgeni fanya vyenye nimekwambia,njoo pm nikukaribishe
cc Beatrice Kingsley
 
Nmesoma koment ila watu wa JF mnambwembwe sana.

Nje ya Melo na wenzake ,Nani aliijua JF bila kupitia FB??? .

FB ndio nguzo pekee ambao hata hawa JF wanaitumia.

Alafu mbwembwe nipale unapomdharau mtu wa FB humu wakati uko uko FB ndio umejaza mipacha yako ya halisi na maisha yako kwa ujumla.

Ila mkiwa humu sasa ,mnajifanya vipangaa wa ujuaji kumbe hamna kitu.

Dear Bite , karibu JF ,hii ndo JF walioko humu ndio haohao walioko FB ..kwaiyo usitishwe sana nambwembwe zai za ujuaji ujuaju usokua na maana.

Sanasana humu hatupost picha zetu Halisi..humu tunazuga namapicha mapicha ya watu wengine basi siku ziende.

Mengine utayajua mdogo mdogo....Mimi sikufundishwa !!
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Sawa nimekuelewa asant sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom