Nielimisheni kuhusu hii App ya Boxreta

Nielimisheni kuhusu hii App ya Boxreta

BIG Africa

Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
85
Reaction score
118
Habari zenu wakuu

Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine.

Swali langu kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
 
Habari zenu wakuu.Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine.Swali langu Kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
Usome za mtu mwingine ili iweje?!
 
Ok Sawa nilitaka Tu kujua kama app hiyo ipo active na unafanya kazi
 
Back
Top Bottom