Niende kiwanja gani Tabata Ijumaa Leo?

Niende kiwanja gani Tabata Ijumaa Leo?

Nawakumbusha tu, kesho kwenda kufanya usafi kanisania, pia msisahau kuweka na sadaka. Amen wapendwa.
 
Tubanjuke tu, kapesa kenyewe ukikatazama hata mfuko wa sement hakatoshi
 
Kiwanja kipi na chenye mizigo mikali
1432742573362-jpg.255130
 
Njoo kinyerez shule hapa nyuma ya ghorofa la Liz moko uku ni kwa maalwatan tu...huko 40 tumewaachia vijana wa vyuo Na mabishoo
 
Njoo kinyerez shule hapa nyuma ya ghorofa la Liz moko uku ni kwa maalwatan tu...huko 40 tumewaachia vijana wa vyuo Na mabishoo
Hahaha hapo pana lodge moja inaitwa super lodge..ni very usefully kwangu mkuu
 
Hahaha hapo pana lodge moja inaitwa super lodge..ni very usefully kwangu mkuu
Hahaha super lodge au kinyerezi lodge Hapo mkuu unaweza kuaga home unaenda mkoani Kumbe Upo kinyerezi..karibu kijiweni wastaafu bar tule utumbo wa mbuzi mkuu!!
 
Back
Top Bottom