Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

Collins Munuo

Member
Joined
Jul 29, 2021
Posts
10
Reaction score
6
Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
 
Enenda SUA mkuu, kama hauna option au hujui malengo yako na hukuapply ukijua kozi hizo. Best hapo ni SUA lakini zingine pia ni best ila kwa upeo wangu ni hivyo.
 
Nenda kozi ambayo ipo general yn hta ukimaliza unaeza ekwa popote kwangu mm naona hyo ya IFM ndo ina afadhali japo food science na chemistry sio mbaya kma utapata connection uko baadae
 
Chagua unayopenda wew ila Bsc in chemistry iko gud zaid
 
Enenda SUA mkuu, kama hauna option au hujui malengo yako na hukuapply ukijua kozi hizo. Best hapo ni SUA lakini zingine pia ni best ila kwa upeo wangu ni hivyo.
Sio nilikuwa sin maleng kk my dream kozi sijachaguliwa nimekuta wamenichagua hizo ty
 
Nenda kozi ambayo ipo general yn hta ukimaliza unaeza ekwa popote kwangu mm naona hyo ya IFM ndo ina afadhali japo food science na chemistry sio mbaya kma utapata connection uko baadae
Kwahiyo hiyo ya IFM bsc in IT with accounting nitafit kwny fursa nyingi za kibiashara lkn vip kuhs competence ya ajira
 
Sio nilikuwa sin maleng kk my dream kozi sijachaguliwa nimekuta wamenichagua hizo ty
Mkuu nimekushauri food science kwa sabu nina mdogo wangu anaisoma hiyo pia kuna jamaa zangu wawili nimeishi nao wameisoma hiyo sio kozi nyepesi lakini kwa upande wa ajira sio mbaya sana tofauti na zingine hizo ambazo sina idea nazo ikiwemo hiyo ya IFM lakini Chemistry jamaa zangu pia kadhaa wameisoma kwa upande wa ajira changamoto kidogo labda utaanza kwa kujitolea na kufanya intern. Food science ni maarufu na ni special kwa watu walosoma hiyo kozi tu tofauti na Chemistry na hiyo IT ambazo huwa na watu wa kozi zingine tofauti tofauti hivyo hata competition huwa kubwa kidogo. Kingine ukiona haifai hiyo bhas kuna baadhi ya kozi za SUA ukiwa pale zitakufaa, kikubwa ni juhudi katika jambo lolote.
 
Kwahiyo hiyo ya IFM bsc in IT with accounting nitafit kwny fursa nyingi za kibiashara lkn vip kuhs competence ya ajira
Ajira hazitabiliki mdogo angu mambo ya kizamani yale sijui kozi alisoma nani ss hv anapesa hayapo siku hzi kama unajua huna connection piga kozi ambayo ni general hta ukimaliza popote unaweza kukaa ukapiga kazi ndo maana nakushauri hyo ya IFM japo food science na chemistry sio mbya ila uhakika wa ajira ndo changamoto
 
Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
Nenda uhasibu tu mzee au chemistry walau unaweza ajiriwa pale mamlaka ya chakula na madawa!
 
Mkuu nimekushauri food science kwa sabu nina mdogo wangu anaisoma hiyo pia kuna jamaa zangu wawili nimeishi nao wameisoma hiyo sio kozi nyepesi lakini kwa upande wa ajira sio mbaya sana tofauti na zingine hizo ambazo sina idea nazo ikiwemo hiyo ya IFM lakini Chemistry jamaa zangu pia kadhaa wameisoma kwa upande wa ajira changamoto kidogo labda utaanza kwa kujitolea na kufanya intern. Food science ni maarufu na ni special kwa watu walosoma hiyo kozi tu tofauti na Chemistry na hiyo IT ambazo huwa na watu wa kozi zingine tofauti tofauti hivyo hata competition huwa kubwa kidogo. Kingine ukiona haifai hiyo bhas kuna baadhi ya kozi za SUA ukiwa pale zitakufaa, kikubwa ni juhudi katika jambo lolote.
Food science hoteli ni nyingi anaweza kuwa mpishi tu hata Samaki Samaki 😅
 
Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
Acha zote hizo nenda kaseme bsc. In geomatics au geonformatics udom au ardhi utakuja niambia mzee!!!
 
Back
Top Bottom