Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

Watu wengi hawajui,hiyo coz ni nzur ukizingatia ajira chache Ila ukisoma hzo zenye accounting zinakusaidia kusimamia ata mirad yako
 
Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
Soko la ajira kwa sasa halina ajira, mpaka madokta wako nyumbani hawana kazi!

Nenda kasome hiyo ya IT kama una laptop unaweza jiajiri kama kichwani kuna kitu.
 
Utakuwa mwalimu wa sekondari(Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu..), uhasibu unaendana na mifumo ila itakuitaji uajiriwe (Bsc in IT with account IFM), kuajiriwa viwandani au ujiajiri katika usindikaji (bsc in food science an techn SUA)
 
Kozi-ya-USINDIKAJI-CHAKULA.jpg
 
Back
Top Bottom