Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Sawa. Tutaendelea kufafanua kila tupatapo nafasi. Ila kama utapenda kueleweshwa chochote zaidi, tuulize tu.Endelea kufafanua
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Tutaendelea kufafanua kila tupatapo nafasi. Ila kama utapenda kueleweshwa chochote zaidi, tuulize tu.Endelea kufafanua
Kwa juu inaonekana vipi? Je Kuna slope mnaweka!Na kwa ndani ni muonekano huu[emoji1541]View attachment 2261174
Hapo umepunguza gharama za mbao za kuezekea, umepunguza gharama za mabati, umepunguza msongamano wa mafundi, umepunguza gharama za mbao za kupigia gysum boards, umepunguza gharama za gysum boards, umeokoa nafasi kubwa ya kipaa. Na kama ulianza kujenga kwa msingi mzuri na ukajenga kuta kwa tofari zenye uimara unaokubalika, unakua umeshapata kiwanja kingine (ghorofa) juu ya nyumba yako.
Abraar Bricks Nyumba kwa Wote. Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0625249605.
Juu inawezekana kuweka slope au pakawa flat tu au juu yake tena tukaezeka na vigae vyetu, ikawa umepata nafasi kubwa ya kivuli, au kama ukuta wako chini ulitumia bidhaa zetu kujengea basi unaata vyumba vingoiine.Kwa juu inaonekana vipi? Je Kuna slope mnaweka!
Ukiweka na picha ya nyumba iliyo Isha itakua vizuri tuone taa na vitu kama feni vilivyo kaa.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Je kwa upande wa JOTO? InakuajeJuu inawezekana kuweka slope au pakawa flat tu au juu yake tena tukaezeka na vigae vyetu, ikawa umepata nafasi kubwa ya kivuli, au kama ukuta wako chini ulitumia bidhaa zetu kujengea basi unaata vyumba vingoiine.
Huu ni umionekano wa juu:
Picha tafadhaliAbraar Education Centre tuna mpango wetu unaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa Wote.
Tunashauri wote tuachane kuezeka kwa mabati kua ndio uwekezaji wa "msingi" kabisa, bati libaki kua ni urembo tu katika ujenzi.
Fatilia mpango wa Abraar Bricks Nyumba kwa wote, tuna ueekezaji wetu ambao unaleta mabadiliko katika ujenzi wa Tanzania. kwa sababu:
1) Gharama nafuu na ubora wa hali ya juu.
2) Unaweza kuezeka chumba kimoja kimoja kwa ubora wa hali ya juu.
3) Hakuna gharama za mbao za kuezekea. Unaokoa gharama.
4) Hakuna gharama za bati wala kuhangaika kuchagua ni bati lipi uezekee.
5) Hakuna gharama za mbao za la gypsum boards.
6) Hakuna gharama za gypsum oards.
7) Unaezeka kwa kipaa ambacho kinaku[atia nafasi kubwa juu ya nyumba yako, sawa na jengo la chini.
8) Hakuna mbao kuoza.
9) Hakuna repair za bati.
10) Unaokoa muda wa ujenzi kwa asilimia 60.
Uezejkaji wetu umelenga kila mtu mwenye nia ya kujenga aweze kujenga.
Ubora wa hali ya juu kwa Gharama nafuu.
Wasiliana nasi kwa 0625249605 au 0656399856.
Picha tafadhali
Je kufunga feni juu na taa inakuaje? Hapo
gauge 30 bei ganiNenda kachukue sunshare.Kwanza wana vipimo vya huakika wanapima uber sawa rangi na uimara wa bati.Alaf ni jina tu lakini bati zao ni za kawaida sana.kachukue gauge 30 pale sunshare huto juta.
Offer Ya Mwezi huu!Mtaalamu Wa Finishing kali zenye viwango vya juu vya ubora ....nipo DSM na mikoani nafika
Tunashughulika na Yafuatayo
[emoji3502] UREMBO WA KISASA
[emoji3502]PLASTA ZA KISASA
[emoji3502]SKIMING NA RANGI
[emoji3502]TILES
[emoji3502]USIMAMIZI WA KAZI
[emoji3502]TUPO TEMEKE
[emoji830]CONT. [emoji336]0789005562
Kwa bei ya kizalendo nitafanya nyumba yako ipendeze na ivutie kwa kazi Nzuri
Na kwa sasa tuna offer
Dirisha Tsh 35,000
Kona Tsh 35,000
Nguzo Tsh 40,000
Mlango Tsh 30,000
Dining (Arch) 80,000
Arch ya nje Tsh 20,000
Skating nzima Tsh 2,000,00
Nipigie kwa namba hii 0789005562View attachment 2117514View attachment 2117516View attachment 2117517View attachment 2117513View attachment 2117515View attachment 2117519View attachment 2117521View attachment 2117518View attachment 2117520
Habari kaka unaweza kunipa uzoefu wako kuhusu bati za Kiboko maana ndio najipanga kununua bati kwa sasa...
OFFER IMEKUFIKIA MKAZI WA TABORA NA MAENEO YA JIRANI! IGUNGA TUMEWEKA KAMBI...Offer Ya Mwezi huu!
Dirisha Tsh 30,000
Nguzo Tsh 35,000
Kona Tsh 30,000
Skating Tsh 150,000
Arch/ndani Tsh 80,000
Arch/Nje Tsh 20,000
Tunapatikana Temeke Dsm
[emoji338] 0789005562
What'sApp link.... [emoji1484][emoji1484]
Wa.me/255789005562
#ujenzi #ujenzizone #ujenziwanyumbaboratz #ujenzizone #ujenzizone_tz #finishing #TANZANIA #tanzania #FINISHINGView attachment 2362347View attachment 2362348View attachment 2362349
Mtaalamu Wa Finishing kali zenye viwango vya juu vya ubora ....nipo DSM na mikoani nafikaOFFER IMEKUFIKIA MKAZI WA TABORA NA MAENEO YA JIRANI! IGUNGA TUMEWEKA KAMBI...
House FinishinG
Plasta Ya Kiwango
Urembo wa kisasa
SkimminG na RanGi
[emoji338] 0789005562
Enewei! Tuyaache hayo!
Bei za urembo ni hizi hapa [emoji1484][emoji1484]
Dirisha Tsh 40,000
Nguzo Tsh 40,000
Kona Tsh 40,000
Skating Tsh 200,000
Plasta tutapatana tukifika saiti!
Simu : 0789005562
What'sApp link.... [emoji1484][emoji1484]
Wa.me/255789005562
#ujenzi #ujenzizone #ujenziwanyumbaboratz #ujenzizone #ujenzizone_tz #finishing #TANZANIA #tanzania #FINISHING
Alaf ni brand tu ya siku nyingi lakini kuna kampuni nyingine zinazarisha bati bora kabisa like Sunshare,Nabaki n.k.Tusiishi kwa kukariri!!Alaf ndio hati bora kuliko zote hapa nchini
Hali ipoje mpaka sasa mkuu kwa bati ya dragon?Nilichukua mzigo Dragon mwaka jana. Nitaendelea kuwa shahidi mwaminifu kutia ushuhuda. Kuna watu walinitisha eti baada ya miezi sita zitachuja. Bado ni mpyaaa
OkNaomna ukasome uzi wangu kuhusu elimu ya bati.
Unless wewe uwe ni dalali wa Alaf.
Bei ya Alaf sio kwa sababu ya ubora bali vipimo vyake na Gauge yake. Other factors zinalingana na makampuni yoote.
Mfano G28 Alaf ina upana wa 122mm na ufefu wa mita tatu. Bei yake ni 52k bati moja.
Sunshare G28 upana 98mm urefu mita 3 bei yake 42.
Usipokuwa makini utaona Alaf bei kubwa hivyo ndio ubora wake. Wakati kilichoongeza bei hapa ni upana wa bati. Ikiwa utafanya calculation kama nilivyofanya mimi utakuta bei tofauti ni elfu 1 au elfu 2tu.