Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
kiungo wa yanga anayehamia madridNifah ndio nan mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiungo wa yanga anayehamia madridNifah ndio nan mkuu?
Amina!!.. JF ni family huwa sipendi mtu akosekane humu.Gentamycine hahaaaaa
Well,nitajibu kwa kifupi tu ya kwamba nilikuwa nje ya JF kwa masuala yangu binafsi ambayo sihitaji kuyatolea maelezo.
Kweli niliwakosea na kuwasononesha wanaonipenda humu na kiukweli nilitafutwa sana hadi nikajiona mwenye hatia. Sikuwahi kujua kama Nifah ni ID kubwa kiasi gani hadi nilipoacha kuitumia JF kwa muda!
Na baada ya kugundua hilo basi kupotea kwangu humu hakutojirudia tena...
Niseme nini tena? Nashukuru kwa upendo huu na namshukuru Mungu nimerejea tena kuungana nanyi wapendwa wangu.
Cheers
haha..Nimefurahi sana na mno kupata hii ' Comment ' yako. Nakupenda na nakukubali kuliko unavyojua au unavyodhani japo ' Mbunye ' yako anakula mwingine. Karibu sana Dada na Rafiki Nifah.
Ku'deal' naye huyu jamaa kwenye kubadilishana mawazo unahitaji kutulia. Si unamuona Nifah alivyomjibu kwa utulivu.haha..
Bwahahahhahahahahha mleta mada ana gundu si bureHuu uzi umesuswa au?
kwa shemeji yetu au sioBwahahahhahahahahha mleta mada ana gundu si bure
Karibu kilingeni msata upate kuoshwa gundu hilo mleta mada ili watu waweke comment zao hata muhusika hakuoni loooh maajabu.
Hakika gundu halijawahi kumuacha Genta salama.
Yes mwambie ndugu yakoookwa shemeji yetu au sio
nadhani lazima aone haka kaujumbe kutoka kwa Mrs superspotYes mwambie ndugu yakooo
Umeanzaaaanadhani lazima aone haka kaujumbe kutoka kwa Mrs superspot