Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali


Katika yoooooote namba 1 unataka kupandisha watu mashetani hahaaaaa.

Asante Genta,sidhani kama kuna mtu ambaye hatotamani kuwa ktk nafasi yangu kwako!
JF kwangu ni watu kama nyie [emoji1488]
 
Hizi sifa ni kwa mujibu wako sio JF public .

Kama unamtaka useme
 
Vipi ndugu upo mwezini? Kuna tatizo gani kwa mwanamke kusifiwa urembo?

Mwanaume kuwa na wivu hii nini maana yake?

Hahaaaaa
Shkamoo Ankali [emoji1487][emoji1487]
 
Hizi sifa ni kwa mujibu wako sio JF public .

Kama unamtaka useme

Kama kuna Wadada ambao naheshimiana nao humu JF na nawakubali hasa kwa michango yao halafu hata sijawahi na sitokuja kuwahi Kuwatongoza hata siku moja ni hawa wafuatao:
  1. Nifah
  2. Sky Eclat
  3. Shunie
  4. Evelyn Salt
  5. miss chagga
  6. cocochanel
  7. Miss Natafuta
  8. Mama Sabrina
Na siyo kwamba Wanawake wengine wote wa JF labda siwapendi au siwakubali ila hata Kocha wa Timu huwa na ' First Eleven ' yake na ambayo lazima iheshimiwe. Na kuhusu kumtaka Mwanamke nisikufiche natamani sana siku moja tu unikutanishe na ' Mamaako ' ili niweze kuomba ' usajili ' wa muda Kwake wa Kibaiolojia.

Sijaanza leo humu kuwaanzishia Watu ' Uzi ' hasa akina Dada na nakumbuka hata Shunie nilishawahi kumuanzishia humu ' Uzi ' na mpo ' Mapopoma / Wapumbavu ' mlisema kuwa namtaka au amenikatalia na bahati nzuri Shunie mwenyewe tunae hapa hivyo naomba kama Mimi GENTAMYCINE nilishawahi Kumtongoza naomba aseme hapa hapa hadharani na kama ana ushahidi wowote ule auweke ili niumbuke Kwenu.

Usipomzoea GENTAMYCINE utapata taabu sana na Mimi kwani ' haiba ' yangu ya Kiasili ni mpenda Utani na Kuchangamshana popote pale ninapokuwepo na ndiyo maana hata huku Uraiani katika maeneo kadha wa kadha nikikosekana tu Wazee na Vijana huwa wanaumia na ' wananimisi ' vibaya mno.

Hao Watajwa wangu Saba ( 7 ) hapo juu licha ya kuwafanya ni Dada na Marafiki zangu wakubwa na wapendwa kabisa hapa JamiiForums lakini pia nimewafanya kama ni ' Watani ' zangu wakubwa na kama kuna akina Dada ambao itatokea nikakengeuka / nikakosea humu kwa lolote lile halafu wakanisema au kunionya au kunishauri basi hao Saba ( 7 ) hapo juu wakifanya hivyo nitawaheshimu na kuwasikiliza Kunakotukuka.

Kesho pia au hata wiki ijayo nitaanzisha ' Uzi ' wa ' Kumchokoza ' Dada yangu Miss Chagga ambaye nae amepotea humu kama ambavyo alipotea Dada yangu Nifah hivyo nakuomba tu usichoke tena kuja na hii hii Kauli yako kuwa na Yeye pia ninamtaka Kimapenzi. Sipo JF kutafuta Mwanamke au Mpenzi bali nipo nanyi tu humu katika kuwasilisha mawazo na mitazamo yangu ' Kuntu ' juu ya ' mada ' ambazo huwa zipo au zinaletwa.

Nimemaliza.
 
Mwaaaah mwaaaah nimefurahi sana kuwa kwenye list yako si unajua vile nakupenda na kukukubali

Achana nao hao kwani ukinitongoza na nikakukubalia shida iko wapi we mwanaume mm mwanamke hakuna cha ajabu
 
Gazeti refuu kujikweza kwingiii sijaona LA maana ulioandika .

Nilikukumbusha tu zile sifa ni kwa mujibu wa kwako yaani kwa mujibu wa oblangata na mtizamo wako ila sio JF public .

Mi huwa situkani watu matusi ya nguoni mi nakupa neno utatapika mwenyewe .

Any uwe na amani mzee wa gisenyi

Urakoze cyane!!
 
Mwaaaah mwaaaah nimefurahi sana kuwa kwenye list yako si unajua vile nakupenda na kukukubali

Achana nao hao kwani ukinitongoza na nikakukubalia shida iko wapi we mwanaume mm mwanamke hakuna cha ajabu

Labda wanajua Mimi GENTAMYCINE ni ' Mkuyengeless ' Dada. Kupitia huu ' Uzi ' nimegundua mambo mengi sana ila makubwa ni kwamba Watu humu hatupendani, tuna chuki mioyoni mwetu, wivu, husuda na roho mbaya halafu matatizo ya Mtu wao huwa ndiyo furaha yao.

Kuna Members humu walishaanzisha sana ' threads ' za Kunihusu je na Wao walikuwa wananitaka? Na bahati mbaya sijui nzuri wengine walikuwa ni Wanaume. Tunapokuwa humu tujifunze kuheshimiana na kuvumiliana halafu usilazimishe Chuki uliyonayo Wewe kwa Mtu fulani hapa JF basi na Sisi wote tuwe nayo kwa huyo Mtu.

Dada yangu Mpendwa Shunie nakupenda Kunakotukuka na nadhani hili jibu ulilolitoa hapa kuna Mtu umemmaliza na sasa limemshuka kabisa na Bichwa lake Kubwa kama ' Makende ' ya Kifaru.
 
Kikubwa ni kuwadharau tu ukiona watu wa hivyo ndio jf yetu hii tunachukiana hatujuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…