Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali

Kujikweza ndiyo Jadi yangu na sitoacha hadi naingia Kaburini. Hata hivyo usipate sana taabu kwani hasira zangu zote Kwako nitazimalizia kwa ' aliyekuleta ulimwenguni ' ambaye leo namtegemea mida ya Saa 4 usiku. Kuna Zawadi nitampa akuletee hivyo naomba umpe ushirikiano wako katika Kuipokea japo kiukweli hata Hela ya Kuinunulia ' amenihonga ' Yeye mwenyewe!
 
Hehehehehehehe hahahahah daaah mkuu umekumbwa na nini haya maneno ni kama ya mtu mwenyewe stress heheheheh

Haya mwambie achukue uber poa nitalipia
 
Ila tuache mzaha nifah, kaka zako tunakupenda sana sanaaaa. Ulivyoondoka binafsi niliumia sana kwasababu wewe ni moja ya watu wangu muhimu sana humu ndani. Tafadhali usitukimbie tena....
 
Ila tuache mzaha nifah, kaka zako tunakupenda sana sanaaaa. Ulivyoondoka binafsi niliumia sana kwasababu wewe ni moja ya watu wangu muhimu sana humu ndani. Tafadhali usitukimbie tena....

Hakika mimi Nifah nimebarikiwa,mnanipenda hadi najionea wivu mwenyewe.
Sitoondoka tena Bruh, I promise [emoji1488]
 
Genta yaan mimi wa mwisho nitakupa tabu sanaa naomba shunie awe wa mwisho au huyo coco [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Genta yaan mimi wa mwisho nitakupa tabu sanaa naomba shunie awe wa mwisho au huyo coco [emoji57][emoji57][emoji57]

Mamie kumbe una Wivu hivi Kwangu? Wewe nikiwa nawe Kimahusiano kwa mfano siku unikute na Mwanamke tumesimama tu si utaniwahisha Mbinguni Kuume kwa Mungu Baba kwa msaada na ushirikiano wa Kutukuka wa Israeli? Punguza Wivu Mamie na Wewe ndiyo kila Kitu Kwangu hawa akina Shunie nawazuga tu!
 
yaani hatuonani kabisa aisee tatizo nini

tatizo limekwisha sasa dada tupo pamoja sana si unajua hapo katikati tulivyopata misukosuko humu ndani?? ahsante kwa uongozi wa JAMII FORUM umeturejesha pamoja
 
tatizo limekwisha sasa dada tupo pamoja sana si unajua hapo katikati tulivyopata misukosuko humu ndani?? ahsante kwa uongozi wa JAMII FORUM umeturejesha pamoja
yaani acha tu mdogo wangu hatimae tumekutana leo
 
Ntakutoa roho kabisa ,,au ndio wa mwisho atakuwa wa kwanza ngoja nijifariji
 
Eeenh sema kweli Genta kwahiyo mm unanizuga eenh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…