Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ni wakati wa kutulia sasa, usiingie kwenye mahusiano mapya haraka haraka, mapenzi ya kweli hayahitaji haraka, nakuombea upate mtu mwingine aliye bora ambaye mtafunga pingu za maisha na kutengeneza kizazi kijacho.
Mkuu, Nashukuru kwa kila ujumbe wako uliouweka hapa.
Nazingatia ushauri wako vyema, wewe ni mtu mwema sana.
Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…