Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Mimi Raia mwema napambana sana jamaa Maghayo aache bange yeye pamoja na genge lake kwani madhara yake ni makubwa kwa members humu.

Cheki mfano hapo chini Ghayo's gang wakiingia Jf baada ya kushambulia vipisi vya bange , Bora hata dronedrake Bakari Nondo yake haikeri members humu.View attachment 2858733
Aiseee nime cheka kibwege, ila adriz 😀🤣🤣
 
Ukisoma comments humu ni kama vile watu wamefurahia hao wawili kuachana.

Hii itapelekea wengine kuogopa kuweka wazi mahusiano yao humu.

Na mnafanya na sisi Wazee wenu tuogope kuwatambulisha Bibi zenu kwa kuogopa mtatuchawia tuje kuachana Uzeeni 😜🙌

Mtu mzima hapangiwi maisha babu tatizo humu washaurii wengiii afu hawajui ukweli

Kweli Sikuzote watu hufurahia watu wakiachana ndio binadamu tulivo!

Sema nifah amejua kutusapriz Nimeipenda hii akili
 
Umefanya vizuri sana kuweka wazi, watu tunakuzimia tunaogopa kuingilia
Maana yake jimbo liko wazi, Haya ngoja tuwashe chopa zetu tuje kupiga kampeni huko uchaguzi mdogo!!
Kwahiyo jimbo liko wazi na Halina mgogoro ?

Aisee jimbo liko wazi kwa mara nyingine tena!
Nakuja DM mamaa Nifah

Ila tu mie sio mmbea japo nitakuspoil mbaya mbovu, nitaanza na Range mpya
NINA MPENZI!
 
Hivi Kiswahili sahihi ni ipi? Kutanguliza kujitaja wewe kisha mwenzako ama kumtaja mwenzako kisha wewe?

Anyway, ni jambo jema. Kila la kheri katika mahusiano mengine mapya. Mungu akusimamie.
Usahihi ni kuanza kujitanguliza wewe kisha wengine, nionavyo mimi.
Maana hii taarifa ni ya upande wangu, najizungumzia mimi kwanza.

Nashukuru Mkuu 🙏🏽
 
Back
Top Bottom