Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Aiseee nime cheka kibwege, ila adriz 😀🤣🤣Mimi Raia mwema napambana sana jamaa Maghayo aache bange yeye pamoja na genge lake kwani madhara yake ni makubwa kwa members humu.
Cheki mfano hapo chini Ghayo's gang wakiingia Jf baada ya kushambulia vipisi vya bange , Bora hata dronedrake Bakari Nondo yake haikeri members humu.View attachment 2858733