Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Aiseee nime cheka kibwege, ila adriz ๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Mtu mzima hapangiwi maisha babu tatizo humu washaurii wengiii afu hawajui ukweli

Kweli Sikuzote watu hufurahia watu wakiachana ndio binadamu tulivo!

Sema nifah amejua kutusapriz Nimeipenda hii akili
 
Hii style ya Nifah inaitwa Chomoa Kimbia.

Kaleta taarifa waja wabaki kupayuka. Hakuna kujibu chochote.

Watasema wee, mwisho waanze kuparuana wenyewe.

Bladfakeni.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dokta tulia bas tuparuane leo mpaka mwaka uanze
Wengine mada haziwahusu wanajifanya victims๐Ÿ˜‚

Bladfakeni moo.๐Ÿ˜†
 
Umefanya vizuri sana kuweka wazi, watu tunakuzimia tunaogopa kuingilia
Maana yake jimbo liko wazi, Haya ngoja tuwashe chopa zetu tuje kupiga kampeni huko uchaguzi mdogo!!
Kwahiyo jimbo liko wazi na Halina mgogoro ?

Aisee jimbo liko wazi kwa mara nyingine tena!
Nakuja DM mamaa Nifah

Ila tu mie sio mmbea japo nitakuspoil mbaya mbovu, nitaanza na Range mpya
NINA MPENZI!
 
Hivi Kiswahili sahihi ni ipi? Kutanguliza kujitaja wewe kisha mwenzako ama kumtaja mwenzako kisha wewe?

Anyway, ni jambo jema. Kila la kheri katika mahusiano mengine mapya. Mungu akusimamie.
Usahihi ni kuanza kujitanguliza wewe kisha wengine, nionavyo mimi.
Maana hii taarifa ni ya upande wangu, najizungumzia mimi kwanza.

Nashukuru Mkuu ๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ