Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

😂😂😂
Njoo kunywa maji mpenzi
Maana nimesoma haraka haraka mpaka nimepaliwa
Mdogo wake Zai😆
Anyway 2024 tuanze na mapya, halafu urudi kule uswekeni, kupelekwa salon bas ndo unahara kila sehem, ungeenda hata Glamour hair si makao makuu ya JF yangefungwa🚮
Ptyuuu
Ila we SI huwa ni mpole😂😀😀🏃
 
Sbb mlikuwa katika mapenzi tu, na hamjafikia hatua ya ndoa, sio mbaya, mme enjoy and things didn’t go to your expectations, let it go…!!

Keep moving, opportunity dances with those already on the dance floor..!! So never stop looking for your next soulmate..!!! Life is full of sweet moments…!! Kila la kheri..!!
Thank you Jay One
Bless ya
 
Pole sana na hongera kwa kuweka wazi kuanzia mwanzo na mwisho wake umeuweka wazi pia.

Haya maisha yana vitu vingi sana kuna wakati tunaepushwa jambo fulani bila kujua pengine mahusiano yenu yangedumu mmoja wenu angekata moto ili lisitokee hilo mahusiano inabidi yajifie so wakati mwingine hatupaswi kulaumiana ni kuiacha nature iamue. Ombi moja kwako nakuomba basi hata kama mmeachana mwambie arudishe majeshi jf bado tunawajitaji wote.
Mkuu, nashukuru sana 🙏🏽
 
Ndio maana sipendi mapenzi nachukia sana ni mambo magumu ya ya kufedhehesha kuwekeza fyraha kwa mtu hapana nimeachana na mapenzi nikiwa na 19yrs na hata milele Mungu ajalie hili nidumu kwa muda mrefu

Nifah achana nae sisi tutakupa kampani jukwaani
Yaani kisa umeumizwa na mmoja ndio unachukia mapenzi?Mapenzi ni kitu kizuri ila sio Kila penzi lazima lilete matoleo chanya,mengine ni njia tu,mengine ni lesson ila Kuna muda utampata mtakayefanana,,,HUNA sababu ya kuchukia mapenzi.....ona mfano wa Nifah Yuko very strong,and that is how it should be
 
Afu Tunapenda sie ndo tusikilizwe sasa habari zangu ziwe zakweli zako za uongo na wakati watu wanatufahamu kuliko hata tunavojifahamu humu


Nifah kwahii akili ameupiga mwingi!
Mtu unapata faida gani kutaka kuonekana uko juuuuu, ukimkazia kidogo unaombwa hadi luku ya elf 5.

Unajiuliza huyu kasahau kwamba katutangazia maisha yake ni grade A.

Halafu huyu niffer sio admin wa lile grop kweli?


Anajidai kwao coastal ya East afrika
 
Back
Top Bottom