Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Haha hapana huyu wa sasa alisema mwenyewe kwamba kuna siku atamuweka wazi, sasa naona leo anakuja na habari za sitaweka tena wazi mahusiano yangu, ndio nataka nijue hilo tamko linajumuisha na huyu sasa ama watakaofuata
Yeye ayaweke wazi aone kama end of 2024 hajaja na thread ya majonzi😀😀
 
Haha hapana huyu wa sasa alisema mwenyewe kwamba kuna siku atamuweka wazi, sasa naona leo anakuja na habari za sitaweka tena wazi mahusiano yangu, ndio nataka nijue hilo tamko linajumuisha na huyu sasa ama watakaofuata
Kuna kitu sio bure. Hii taarifa ya Nifah imekua ghafla sana anyways!
Kwa uzoefu wangu Amefanya jambo jema make dohh! Ni zaidi ya hatariiii
 
Ila watu bhana...

Nifah ameamua kuandika sababu yeye ndiyo yupo active JF kwa sasa kuliko jamaa...na amekuwa akiulizwa maswali mengi kuhusiana na mahusiano yake na The Bold.. Na aliahidi ataleta uzi kabla ya mwaka kuisha au mwanzo wa mwaka( 2024) ataeleza kila kitu....

Sasa kosa lake hapo ni nini?

Wanaume acheni kujihesabia haki kwenye Mahusiano....
Umeanza [emoji851] ila Swahiba wako Rebecca hayupo siku hizi kupiga debe la "Haki Sawa" [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ila li The bold lilienjoy sana, hakuna raha kama kuwekana na lidada linalojitambua, hata likikupiga chini lazima ujipige kifua kwa ushindi...wanasema no regrets!
We unapenda vya chinichini weka wazi watu tujue,,,,sio na kale ka girl Kako ka Missy Gf mnatuchanganyia habari ,mara mnajikausha,mara mnajiweka wazi mnatuchanganya wambea!Hebu semeni kweli tujue😜😜
 
Back
Top Bottom